upupu255
Senior Member
- Sep 4, 2024
- 119
- 144
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameendelea na zoezi la kutoa mitaji kwa akina mama wa Jimbo la Buchosa, ambapo leo alitoa shilingi milioni 2 kwa akina mama wa Kata ya Kalebezo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti wa akina mama wajasiriamali wa Kata ya Kalebezo, Tabu Mhaya, amempongeza Mbunge Shigongo kwa juhudi zake za kuwajali akina mama na kuwapatia mitaji itakayowasaidia kukuza biashara zao.
Utoaji wa mitaji kwa akina mama katika kila kata ya Jimbo la Buchosa ni sehemu ya mpango wa Mbunge Shigongo wa kuondoa akina mama katika mzunguko wa umaskini, kwa kuwa wao ni walezi wa familia.