Eric Shigongo auita mtandao wa JamiiForums wa "KIJINGA KIJINGA"...

Eric Shigongo auita mtandao wa JamiiForums wa "KIJINGA KIJINGA"...

Status
Not open for further replies.

Scofied

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,456
Reaction score
1,673
Akihojiwa na watoto wa Five connetc EATV, kuhusu issue yake na Chameleon wa Uganda, amesema comment za JF hazimnyimi usingizi coz ni Mtandao wa kijingkijinga...
Nimemsikiliza Eric Shigongo kupitia Channel 5.

Ukweli upeo wake ni finyu sana maana kauli alizotoa ni tata, mtu mzima hawezi kuongea hivyo. Anasema Wakenya na Waganda wanatudharau sana Watanzania. Pia anasema watanzania wengi ni wajinga ndio maana wanamponda kupitia JF.

Hoja aliyokuwa anaongelea na kuwahusisha waTZ wote ni mtafaruku wake binafsi na Jose Chameleone. Ukweli kaongea pumba tupu, hakuna punje hata moja. Anajenga chuki baina ya mataifa mawili. Nimejua ni kwa nini yeye ni mkurugenzi wa udaku na up upu Tz.
Afrika Mashariki tunapendana, yeye atabaki na chuki zake binafsi !

Shigongo ametajirika kupitia blackmailing business, tunajua sana wala hana cha kujisifu.

Unaweza kuihukumu JF na watumiaji wake baada ya kusoma kilichomkera Shigongo kwenye hoja hizi chini:
Ref:
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/290414-erick-shigongo-atiwa-kizuizini.html
&
https://www.jamiiforums.com/celebri...wa-kuondoka-nchini-na-shigongo-kisa-deni.html
&
https://www.jamiiforums.com/celebri...gongo-na-dr-jose-chameleone-sasa-imeanza.html
 
Analeta udaku na JF huyu.
Ngoja tumkalie kama kamati tutazame majaliwa ya tuhuma hii nzito.
 
jamaa anaongea kwa hisia sana..mbaya ataki kusema whats happen mkuu..
 
...Anaimaind. Ye kaulizwa swali, JF imeingiaje hapo???
 
Inawezekana hamjamuelewa huenda ni wa kijinga kwa wajinga nae huenda yupo kundi la wajinga!
 
ila jamaa ni dhuluma. ukitaka kujua. fuatilis magazeti yskd
 
Alipoteza hela nyingi kugombea ubunge, lazima awe na hasira!
 
jamaa bogus sana anasema watanzania??????yeye anadeal na conman akapigwa dollar hopeless sana
 
Kuna uwezekano mkubwa kuwa na yeye ni memba humu.........

amesema uwa ana soma coment za watu,anashangaa..eti anawafahamu watu wengi waliokuwa JF sasa wamejitoa..kamta ja Zitto mmojawapo
 
Mgema akisifiwa Tembo hulitia maji sio, awali nilipenda sana story za huyu kiumbe but nowardays kichwa kinatoa mvuke hana jipya!
 
Kaka huyu ni mwehu, kwanza anadai eti Members wa JF eti wana account nyingi nyingi, unajua nini? Ni rahisi tu. Huyu ni Expert wa UDAKU, sasa hapa JF watu wanaongea ukweli,wanafichua uozo, wanaanika Ukweli, sijui kati yake na Chamillion yupi yupo sahihi lakini kuita mtandao huu wa kijinga jinga hapo ameingiza udaku kwenye mambo ya Msingi.

Shigongo kuwa makini na Matamshi yako, kuna hawa unaowaita wajinga na wanunuaji wa Magazeti yako, au na wewe huhitaji wao wanunue magazeti yako kama alivyoongea mkubwa wa Kaya kwa Waalimu?
 
Mgema akisifiwa Tembo hulitia maji sio, awali nilipenda sana story za huyu kiumbe but nowardays kichwa kinatoa mvuke hana jipya!
nasikia alikuwa anacopy na kupaste....
 
Kaka huyu ni mwehu, kwanza anadai eti Members wa JF eti wana account nyingi nyingi, unajua nini? Ni rahisi tu. Huyu ni Expert wa UDAKU, sasa hapa JF watu wanaongea ukweli,wanafichua uozo, wanaanika Ukweli, sijui kati yake na Chamillion yupi yupo sahihi lakini kuita mtandao huu wa kijinga jinga hapo ameingiza udaku kwenye mambo ya Msingi.

Shigongo kuwa makini na Matamshi yako, kuna hawa unaowaita wajinga na wanunuaji wa Magazeti yako, au na wewe huhitaji wao wanunue magazeti yako kama alivyoongea mkubwa wa Kaya kwa Waalimu?

Aje hapa na ID yake tumpe hoja tuone sisi na yeye na mjingamjinga.....jamaa kilaza sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom