Alikuwa akiongea EATV
Ukweli upeo wake ni finyu sana maana kauli alizotoa ni tata, mtu mzima hawezi kuongea hivyo. Anasema Wakenya na Waganda wanatudharau sana Watanzania.
Hoja aliyokuwa anaongelea na kuwahusisha waTZ wote ni mtafaruku wake binafsi na Jose Chameleone.
Anajenga chuki baina ya mataifa mawili kwa masuala yake binafsi.
Nimejua ni kwa nini yeye ni mkurugenzi wa udaku na up upu Tz.
Afrika Mashariki tunapendana, yeye atabaki na chuki zake binafsi !
Shigongo ametajirika kupitia blackmailing business, tunajua sana wala hana cha kujisifu.