MKALIKENYA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,196
- 486
kwanza ni bingwa wa kuhemea vichogo vya watu! atutolee ushetani wake hapa kabla hatujamu-expose! hana adabu! au anadhani hatuijui issue yake na kile kiumbe kuleeeee, alichokihemea almanusura kuumwa, lol! pathetic, chunga kinywa chako shigongo, tunakujua zaidi ya unavyodhania!OhoooO nilijua tu keshalikoroga tutajua mpaka siku alojisaidia kitandani. Hivi huyu mtu si ndo alitumiwa na wauza unga kummaliza Amina Chifupa jamani, alafu lilivyojinga likatoaga makala waliochangia kifo cha AC. Mlokole awe yeye embu atoe picha za utupu anazowaweka wenzie kwenye magazeti yake alafu anajifanya kuficha na vidoa kwenye maziwa na chini ilihali kamuacha mtupu kote. Aondoke akatubu fisadi papa wa maisha ya watu huyu, ameona hapa JF kuna picha kama zake
Huyu jamaa kuna kitabu chake kimoja title...'my body in my own coffin'....lol
dah sasa hapo waganda na wakenya kwa nini waditudharau?
hatuna hata mwalimu wa English course wa kumsaidia?????
anaongea nini sasa?
Ha ha ha muda si muda utaona magazeti yake na title 'JF INAMILIKIWA NA FREEMASONS'.