DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
VERY TRUE MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENIUkiwa mtu wa mihemko ni ngumu kumuelewa Shigongo lakini anajitahidi
kuwatetea Watanzania bungeni ili wamiliki uchumi wa nchi yao. Alipambana mpaka sheria ya manunuzi ikabadilishwa na sasa tenda zote za mpaka bilioni 50, hazifanywi na wageni, lengo ni kuwasaidia wazawa.
Mimi ni CHADEMA lakini kafika wabunge wanaojitahidi kuwapigania wananchi ni huyu Shigongo, kila video yake hata bungeni lazima aoneshe kuwapigania wananchi..... Japo ni kipindi Kisumu Ila mwamba anapambana aseee