Eric Shigongo bado anaendeleza vita ya maneno.

Hakika hii thread haina maisha marefu hapa!
 
tatizo la jamaa ni shule.....haende shule aache kuchafua watoto wa watu..
 
Ila Chameleon kuna kipindi alikuwa na matatizo. Alizinguana kuanzia kwa Ruge, DJ John Dillinga hadi Shigongo. Alikuwaga na mikasa ya ajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…