LGE2024 Eric Shigongo: Msifanye makosa mkaniletea mtu ambaye hatokani na CCM

LGE2024 Eric Shigongo: Msifanye makosa mkaniletea mtu ambaye hatokani na CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,



Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefunga kampeni za wagombea wa serikali za vijiji kwenye Kijiji cha Kanyala, Kata ya Bulyaheke na kuwaomba wananchi kuchagua viongozi wanaotokana na CCM ili iwe rahisi wananchi kupata maendeleo.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa:
LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Akinawadi wagombea hao, Shigongo amewataka watakapochaguliwa wawatumikie wananchi huku akisisitiza kuwa CCM ndiyo chama pekee kinachowaletea wananchi maendeleo.

PIA SOMA
- LGE2024 - Shigongo: CCM ndiyo chama cha kuleta maendeleo Tanzania, Vijana wa CCM ni waelewa na wana akili
 
Back
Top Bottom