eric shigongo na kupenda mteremko

mkuu google messi website wape taarifa jamaa achukuliwe hatua'anapiga kelele za kufundisha ujasiriamali kumbe hawezi

Mkifanikiwa kuwasiliana nao tupeni matokeo. Otherwise mtapiga domo mpaka mfe.
 
Mkifanikiwa kuwasiliana nao tupeni matokeo. Otherwise mtapiga domo mpaka mfe.

sawa. ila usiombe dua baya kwa kuwa ninalolifanya ni kwa tanganyika bora ijayo!
 
Anapenda vya bure,kuna siku atakutana na watu wanaojua haki zao na wanaopenda kwenda mahakamani watamfilisi,anaishi kwa majungu
 
..Acha kuwa na mawazo mgando Ndg yangu, Unless useme una Beef na huyo Shigongo.
Kimsingi Sheria ya Hati Miliki ya Nchi hii ni dhaifu, na ndio maana unayaona hayo mabango yana Picha za Mastaa wa Ulaya, and no body cares, hebu nipe mfano wa hata kesi moja alioshtaki Staa wa Nje kwa kuwa tu ameona picha yake katika Bango hapa TZ,Hakuna. Why, kwa sababu Sheria ni dhaifu, na hao Mastaa ni Matajiri wa kutupa, ukiweka picha yake ktk bango huku Dunia ya tatu unamuongezea umaarufu tu, wala haitaji pesa yako.
Sasa nenda kaulize huyo Ngassa na Mgosi wamelipwa Pesa ngapi kwa hayo matangazo waliotengeneza, Utachoka.
 
kweli wewe mwli kontena akili kisoda.. kwa hiyo kama hakuna aliyeshtakiwa basi waachwe tu waendelee kuvunja sheria.. halafu, nishakwambia kuwa matangazo kama yale yangekuwa fursa ya mastaa wetu kuongeza kipato na kujenga CV. sijali ngassa na mgosi walilipwa sh. ngapi, as long as walilipwa kwa makubaliano na hawakufanya tangazo bure kama shigongo alivyowafanyisha Messi na CR07. halafu mimi sina bifu na huyo mtu wako, ila nina beef na unyonyaji wake...
 
utaambiwa unatafuta umaarufu ili 2015 ugombee ubunge, shauri yako
 
Na nyie acheni ubazazi! Mna uhakika gani kuwa Shigongo hajawasiliana na Ronaldo na Messi?
Msipende kuandika tu ili kujifurahisha, jaribuni kushirikisha ubongo kidogo mpate data!
 
Na nyie acheni ubazazi! Mna uhakika gani kuwa Shigongo hajawasiliana na Ronaldo na Messi?
Msipende kuandika tu ili kujifurahisha, jaribuni kushirikisha ubongo kidogo mpate data!
Na wewe uache ubazazi. Una uhakika gani kuwa Shigongo kawasiliana na Ronaldo na Messi? Usipende kuandika tu ili kujifurahisha, jaribu kushirikisha ubongo kidogo sio masaburi.
 
Na wewe uache ubazazi. Una uhakika gani kuwa Shigongo kawasiliana na Ronaldo na Messi? Usipende kuandika tu ili kujifurahisha, jaribu kushirikisha ubongo kidogo sio masaburi.

siongezi neno hapo!
 
pata picha ya mabango hayo kwenye location halafu wakilisha kwao waombe wakupe wakfu wa kuwawakilisha basi, kuna mtu leo kapaa kazi kubwa ya kumwakilisha mtu mkubwa kwa ujuba huo
 
pata picha ya mabango hayo kwenye location halafu wakilisha kwao waombe wakupe wakfu wa kuwawakilisha basi, kuna mtu leo kapaa kazi kubwa ya kumwakilisha mtu mkubwa kwa ujuba huo

sawa, nitafanya ivo kaka, nitajaribu kugugo web ya hao celebs, picha si shida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…