Eric Shigongo ni nani?

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Katika pita zangu zangu leo nikasikia jamaa anayemiliki dar live anaitwa erick shigongo, nikawaza huyu jamaa ni nan ni mchaga wa wap huyu

Badae nikasikia hata gazet nililokuwa nasoma gazet fulan la michezo wakasema hata lenyewe ni lake nikashituka kidogo nikawaza huyu jamaa ni yupi

Kuna wengine wakadai jamaa anamiliki maghorofa kadhaa kwa far na mwanza tena jamaa ananilekeza ghoropha kazaa kwa mwanza nikazifahamu. nilishituka sana aisee

Jamaa mwingine akasema huyu jamaa ana chanel YouTube kwa mwez anapiga kama milion 30-50

Mwingine tena akasema jamaa kwa sasa yuko chuo mwaka wa kwanza hapo ndo nilipogopa zaid nikajiuliza sasa huyu jamaa yuko chuo mwaka wa kwanza na anamiliki dar live na magazet hela kapata wapi na alianza shule lin na alifanya dili gan aisee

Naomba kumufam aisee maana anaoneka kama jamaa yuko mbali sana. Yaweza kuwa tukapata nas maujanja njia alizopita nasi tukatusua

LONDON BOY
 
sasa mbona maelezo yako yote yanaonesha umepata 80% ya kuhusu yeye.....unahtaji nn tena
 
Tafuta vitabu vyake haswa vya uhamasishaji amejieleza vizuri ila jamaa katokea chini ni la saba aliyekuwa na hamu ya kuwa mtu fulani nchini na dunia simple mind hawamkubari ila mimi namkubali
 
Nenda kama upon dar nenda ofisini jirani na hapa kwangu.. Kama upon nje ya dar nikupe namba yake
 
Ukimaliza ukalipie tangazo... Halafu huo upu.uzi ilibid uuache 2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…