Mkuu ondoa ukabila Wasukuma wenyewe hata hatumjui Magufuli katoka ukoo gani.Sisi kama wasukuma asilia tumemtangazia Eric kaflagi FWATA popote alipo.....
Na itanfwata popote alipo hata ajifuje wapi ?
John alikuwa msugunsu/msukuma?Sisi kama wasukuma asilia tumemtangazia Eric kaflagi FWATA popote alipo.....
Na itanfwata popote alipo hata ajifuje wapi ?
Kabendera hajapendezwa kabisa na neno RIP/Apumzike kwa amani.Yeye ni kuwakera watu tu.Hahaa bado mna muandama Marehemu
Noted MkuuMkuu ondoa ukabila Wasukuma wenyewe hata hatumjui Magufuli katoka ukoo gani.
Bill Clinton alivuta, Kamila Mhindi Mjamaica alivuta,Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Hapo ndio matatizo yalipoanzia sasaIshu ya kula "kaya/mneli/kijiti" sio ishu sana to my side. 😁
Ishu ni kumuua dogo yule kinyama. Hii kitu kiukweli inaumiza sio kidogo.
Wendawazimu tu ndio waliona magufuli kama mtu wa maana. Wenye akili wote walijuwa kuwa magufuli ni takataka.Baada ya kutaka kumbaka makamu wake haijatosha.Hakuna cha ajabu kuna viongozi wengi wamewahi kuvuta bangi utotoni na kuwa watundu.Magufuli hachafuliki kwa hadithi za kutunga.
Naona hadi wasiopendwa leo wanatumika kuweka references, dunia ina majanga hii.
Huyo kabendera amechokonoa hayo ili kufidia madhira aliyofanyiwa, ila haiwezi kuondoa uongo/ukweli kwamba si John tu aliyewahi kuvuta bangi au kufukuzwa shule na bado akawa kiongozi.
Kuwa smart shule au meema siyo kigezo cha kuwa kiongozi.
Uongozi ni karama.
Wendawazimu kama wewe ndiyo mtaamini alitaka kumbaka makamu wake.Wendawazimu tu ndio waliona magufuli kama mtu wa maana. Wenye akili wote walijuwa kuwa magufuli ni takataka.
Hii mupyaaaaaaBaada ya kutaka kumbaka makamu wake haijatosha.Hakuna cha ajabu kuna viongozi wengi wamewahi kuvuta bangi utotoni na kuwa watundu.Magufuli hachafuliki kwa hadithi za kutunga.