Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Hahaa bado mna muandama Marehemu
Kweli Magufuli aliwakomesha vibaraka wa mabeberu, wala rushwa, vyeti feki, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na wabadhirifu wa mali za umma! Erick Kabendera alikuwa wakala wa mabeberu na walikuwa wanamlipa hela za kuhujumu serikali ndo maana kwa maslahi mapana ya nchi Magu kamsweka lupango!😀
 
Aliwakalia vibaya majizi mnaouza nchi yetu sio ajabu kumuona ni taka ila sisi tunajua Magufuli alikua mwamba sana..Kama ni watu kutekwa hata sasa wanatekwa je ni yeye anawateka tokea kaburini???
Yeye ndo mwasisi wa huo utekaji, magufuli wa chato ameharibu nchi mpaka sasa hivi kuharibu uchaguzi , kuteka na kuua kama panya limekuwa kama jambo la kawaida
 
Watu wote waliofanya kazi na JPM kimyaaa.Kweli asiyekuepo na lake halipo.
Kabendera anadhani kwa kusema uongo anamchafua Magufuli! Ataendelea kuwa kiongozi bora Tanzania. Kwa hali tuliyokuwa nayo kipindi Kikwete anamaliza muda wake tulikuwa tunamuhitaji kiongizi shupavu kama Magufuli. Na kweli aliinyosha nchi akakata walioota sharubu na kung'oa visiki na kuchoma moto vichaka
 
Kabendera ni muhaya .

Na kiasili ni mrundi na magufuli kiasili ni mrundi hata Mimi kiasili ni Mnyarwanda japo ni muhaya



Mimi Bibi yangu mzaa mama ni mganda Ila kiasili ni mtusi na Bibi mzaa baba ni muhaya Ila kiasili ni mtu wa Ethiopia
 
Pale juu umekimbia kuthibitisha Kabendera ni Mrundi.
 
And therefore those idiots who are criticizing the credibility of the book should stop calling for its ban rather calling for a community to act in a civilized way especially the political leaders.
 
Magufuli hakukosea chochote labda kosa lake kubwa ni kutetea rasilimali za Tanzania dhidi ya mabeberu na kuwashughurikia mafisadi vilivyo makovu ya mafisadi na Wezi na vibaraka wao kama kabendera yanawawasha mbaka Leo na hadi kiama
 
Mi hata sielewi. Kwanini kumzuungumzia vibaya mtu ambaye hayupo katika ulimwengu huu? Ni nini wanahitaji? Kufuta legacy au kuwakwaza tu waliokuwa wafuasi wake?
Nani anakukwaza? Kuambiwa ukweli nso kukazwa?

Polee sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…