Erick Omondi; Adam &Eve..!!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667
Huyu jamaa ni mbunifu sana, anakipaji na hutoa vitu ambavyo ni tofauti sana na wasanii wengine!
Ni stand up comedy mzuri na pia kwenye nyanja nyingine za sanaa yupo vizuri!
Hii ni video yake aliyoitoa hivi karibuni inayoitwa Adam &Eve!



 
Great graphics naona kuna patrol huko eden ....mziki nayo imefika huko......wacha Steve nyerere afukuzane na Wema huko kwa court
 
Jamaa ni very creative...
 
Great graphics naona kuna patrol huko eden ....mziki nayo imefika huko......wacha Steve nyerere afukuzane na Wema huko kwa court
Steve bado sana kwa Erick!
Stev hana lolote zaid ya kung'ata vidole majukwaan na kucheka cheka...
 
Huyu ndugu mwili wake hauna shukurani kabisa! kumbe kingereza na kiswahili ni lugha kongwe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…