Erick Omondi aja na Saratina, Steve Nyerere tukupende kwa lipi?

Ahahahahaha omondi sio kwa kiwango icho duh ni mkali kama mwimbo wa darasa ahahahaha
 
acheni kumfananisha Omondi na wajinga jinga kama steve rerenye
 
5:55 Jamaa kaamua kufa kwa kucheza break dance. Nimecheka sana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…