Kenyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 414
- 314
Mchekeshaji Erick Omondi anashikiliwa na polisi kwa kuongoza maandamano kati kati ya Jiji la Nairobi Leo, saa chache tu baada ya Upinzani kutangaza kuwa wamesitisha maandamano ili kupisha mchakato wa maridhiano.
Maafisa wa polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kutawanya umati uliojotokeza kuandamana huku wakiongozwa na Omondi.
Kwa mujibu wa ERICK OMONDI, maandamano yake hayahusiani vyovyote na siasa bali yanahusu gharama kubwa ya maisha inayomkumba mwananchi wa kawaida.