Erick Omondi akamatwa kwa kuongoza maandamano

Kenyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Posts
414
Reaction score
314
Mchekeshaji Erick Omondi anashikiliwa na polisi kwa kuongoza maandamano kati kati ya Jiji la Nairobi Leo, saa chache tu baada ya Upinzani kutangaza kuwa wamesitisha maandamano ili kupisha mchakato wa maridhiano.

Maafisa wa polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kutawanya umati uliojotokeza kuandamana huku wakiongozwa na Omondi.

Kwa mujibu wa ERICK OMONDI, maandamano yake hayahusiani vyovyote na siasa bali yanahusu gharama kubwa ya maisha inayomkumba mwananchi wa kawaida.

 
Walikuwa waandamanaji wangapi..? Ama ndiyo wale ma body builder wakiwa na minyororo shingoni, Kama jamaa hana upepo
 
Huyu mujamaa anatafuta version ya kuumizwa au?.
 
Omondi anatafuta njia ya kuwa mwanasiasa hapo mbeleni ameanza na mbinu hii muda utasema utasikia n mbunge wa embakasi west kumtoa babu owino Mr TIBIM
 
Omond ndo hero

Raila anasska haki ya kula keki ya taifa.

Hongera zake sana Omondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…