Erick Omondi ndani ya Zari white party

hahaaaaa nitazimia hiyo siku wallah

Unajua hua sijasahau lile tukio la kumtunza Daimond pesa halaf Dai kama hamuonii aiseee liliniuma kama ni mimii unajua wema ana moyo flani hivi wa kusamehe haraka hasa akipenda,ndicho humponza sasa unaweza shangaa akaenda wenzetu wana akili za kizungu
Mi namuomba asiende kabisaaa
 

hamna ht cha uzungu
katingwa na dogo chibu ndo kafa kaoza kwa mama kimimbaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…