GE2025 Erick Shigongo aamini kuteuliwa kugombea Ubunge wa Buchosa Kupitia CCM 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Erick Shigongo, amesema ana matumaini kuwa jina lake litateuliwa kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Akizungumza na wanahabari wakati wa maziko ya Hayati Job Ndugai wilayani Kongwa, mkoani Dodoma, Shigongo amesema anaamini matokeo ya ushindi wake kwenye kura za maoni na uhitaji mkubwa wa wananchi dhidi yake vitamwezesha kuaminiwa tena kupeperusha bendera ya chama hicho.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha, Shigongo amesema kifo cha Ndugai, Taifa limepoteza mtu muhimu ambaye anapaswa kukumbukwa kwa mema mengi aliyoyafanya kuliko madhaifu

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…