Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
wadau nimepata taarifa kua no wiki mbili sasa chuo cha afya kikichopo tanga mjin kimefungwa kutokana na vurugu zilizoibuka juzi wanafunzi wakidai haki zao ambapo mabomu ya machoz yalitumika kutawanya wanafunzi chuon hapo,nilishawah kuzungumza kuhusu hiz taasisi leo yametimia elimu haitaki janjajanja