JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
wana tengeneza galastico yao... madrid haikuacha mchezaji kila aliye bora alinunuliwa... wakajaza mastaa...Sasa na hao psg wanamtaka haaland wa Nini Kama sio tamaa tu kuharibia wenzao[emoji848]
Pale mbele Wana Messi,neymar,dimaria,mbape n.k
Yeah hata mimi nakubaliana nawe kwa 100%. Asiangalie tu tamaa yakucheza timu moja na akina nakina Neymar, Messi, Mbape, hao atakutana nao kama opponents UEFA na World CupAende Real Madrid bhana ili iwe rahisi kwake kuwa mchezaji bora wa Dunia.
Aliyekutangulia amekutangulia tu mkuu. Daima tutasikia wachezaji wenye uwezo mkubwa wakizitumikia timu za Ulaya tu maana kule ndio wanathamini vipaji vya watu kiuhalisia, wanakupa pesa ili hiyo pesa iwape pesa (Win win Situation)Du, mshahara wa wiki moja ni bajeti ya klabu kubwa kabisa Afrika kwa mwaka mzima. Vidole haviwezi kulingana.