Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Reforms no zitafanyika kabla ya uchaguzi na CDM itashiriki uchaguziNaona mmeamua
Kujifariji na kujiliwaza.
.No Reforms, No Election imekufa, na imekufa tarehe 03 August 2025 baada ya Rais kuvunja bunge…
Kwa hiyo mnakubali uchaguzi unafanyika.
Heche anasemaje?Reforms no zitafanyika kabla ya uchaguzi na CDM itashiriki uchaguzi
Visungura siyo pombe mkuuNaona mmeamua
Kujifariji na kujiliwaza.
.No Reforms, No Election imekufa, na imekufa tarehe 03 August 2025 baada ya Rais kuvunja bunge…
Kwa hiyo mnakubali uchaguzi unafanyika.
Naomba tukio la kuvunjwa Bunge tarehe tajwa?Naona mmeamua
Kujifariji na kujiliwaza.
.No Reforms, No Election imekufa, na imekufa tarehe 03 August 2025 baada ya Rais kuvunja bunge…
Kwa hiyo mnakubali uchaguzi unafanyika.
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURANaona mmeamua
Kujifariji na kujiliwaza.
.No Reforms, No Election imekufa, na imekufa tarehe 03 August 2025 baada ya Rais kuvunja bunge…
Kwa hiyo mnakubali uchaguzi unafanyika.
Mziki ni mzito, mpaka ccm inaenda kushindana na chauma na ACt , msione mbwembwe za juu juu, hili pigo sio la kitoto, mpaka sasa hawajui what next, hesabu zote zimegoma mpaka sasa ,chadema 5 ,ccm 0Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kibamba Ernest Mgawe amesema ajenda ya No reforms no Election imeitikisa serikali bila kupepesa, lakini watu wanaibeza ajenda hii lakini mimi niwapongeze viongozi wangu wa chama kuendelea kuisimamia
Unatoka tamko huku umejificha chumbani kwako na Tecno yako.OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
NO REFORMS NO ELECTION
Hahahha CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI ..