shuka moroco tembea mbele kama unaelekea mwenge vuka mataa upande ilipo sheli ya bonjour,songa mbele kidogo utakuta barabara ina panda karibu na kanisa la watakatifu wa siku za mwisho utaona kibao cha erolink,chapa lapa kidogo utaiona
asante let me try, ila nackia wakikutafutia kaz kuna percent wanakuwa wanachukua kwenye mshahara wako, na mkataba et unakuwa ni kat yako na erolink na sio wewe na alokuajiri, hv ni kweli au?