EROLINK Acheni uzushi!

King2

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
1,277
Reaction score
182
Hawa jamaa ndo wana husika na Recruitment ya customer care Vodacom, ila tatizo jamaa ni wababaishaji kinoma, ukipeleka Cv yako wanakuita kwenye interview yao ya Written. Baada ya hapo ndo nitolee hakuna response tena yaani Kimyaa. Kuna jamaa yangu amepeleka CV kama mara 6 mchezo ndio huo huo.
 
Nadhan wasipokuita ujue huja-qualify,mbona wapo wadau wanaitwa,friend of mine yeye alifanya written akaitwa oral,akashinda na leo yupo voda,,,,wamempromote hayupo tena customer service
 
Nadhan wasipokuita ujue huja-qualify,mbona wapo wadau wanaitwa,friend of mine yeye alifanya written akaitwa oral,akashinda na leo yupo voda,,,,wamempromote hayupo tena customer service
Hilo jibu ni sahihi. Waajiri wengine husema kabisa ukiona kimya ujuehuja fanikiwa.
Yaani ukiona manyoya ujue kashaliwa.
 
Nadhan wasipokuita ujue huja-qualify,mbona wapo wadau wanaitwa,friend of mine yeye alifanya written akaitwa oral,akashinda na leo yupo voda,,,,wamempromote hayupo tena customer service

mkuu hiyo labda kitambo kidogo. Siku hizi nafikiri mambo ya kujuana na hongo pia yapo tena sana tu. Tests zao hazina ugumu wowote..erolink Kuitwa Oral interview imekuwa majaliwa siku izi.
 
Hawa jamaa wanaajiri kabisa, kuna watu wengi waliopo NBC wao wamewafanyia usaili, me wamewahi kuniita mara mbili, mara ya kwanza walinipigia simu saa saba wakidai niende kabla ya saa tisa, sikuweza kwenda, mara ya pili ilikuwa machi 2012 walinihitaji nifike siku hiyo kabla ya saa kumi jioni, tena tulielewana hadi mshahara na eneo la kufanya kazi ila sikuweza kufika tena. Me nataka niwaambie kwamba nawafahamu wapo tena washikaji wapo poa kwa mfano yupo Nancy, Adam na washikaji wengine kibao tu,
Lazima tukubaliane kwamba KIINGEREZA KINATUFANYA KUKOSA NAFASI...Tell us about yourself, poromoka acha mbwembwe, andika CV fupi ya Kisomi Max 3pages, Onyesha kwamba unafahamu kile unachoongea...I am good problem solver,,,haya tupe mfano.....kimya.....Lazima tubadilike TWENDE PAMOJA, ME PIA NI FIGHT...NIKOSOE NIJIREKEBISHE HAPA FORWARD FOREVER BACKWARD NEVER
 
Labda kwa siku hiz,ila mimi erolink kwangu sina shaka nao,i remember wadau nilowaelekeza pale washawah kupigiwa sim
mkuu hiyo labda kitambo kidogo. Siku hizi nafikiri mambo ya kujuana na hongo pia yapo tena sana tu. Tests zao hazina ugumu wowote..erolink Kuitwa Oral interview imekuwa majaliwa siku izi.
 
Ur ryt mdau,,,,lugha na kujiamini kuzungumza mbele ya kundi la watu,ndo maana vyuon wanataka kwenye semina kila mtu aongeee
 
wapi Ofisi za Morrocco or Masaki.
 
duh mi hata simu sijawahi pigiwa...ngoja niwapelekee tena

ukipeleka ya morocco, ni lazma watakupigia simu kupiga written interview ya Voda.. Then baada ya hapo Manyoyaaa, ya pili oral utata mtupu..
 
Mimi nilishapeleka hapo CV zaidi ya Mara mbili lakini hola ni kawatumia tena CV yangu kupitia email yao zaidi ya mara tatu pia bilabila.

Au kuna kujuana maana siku hizi unaweza ukasema mlango wa ofisi uko mmoja kumbe iko miwili WEWEW UKUPITA MLANGO WA MBELE WENZIO WANAPITAM MLANGO WA NYUMA. Alafu aliyepitia mlango wa nyuma akafinikiwa kuliko wewe uliyepita mlango wa mbele ambao ni halali.

NB: TUSIKISIFU SANA KITU BILA KUFANYA UCHUNGUZI WA KINA KUKIPATA WW SIO SABABU KILA MTU ATAKIPATA.
 
Wakuu ofisi za hao EROLINK zipo wapi?kuna dogo mmoja kamaliza chuo nimuagizie na yeye akapata uzoefu wa interview!
 
yea man, si unaona wewe kumbe hadi personal unawajua ndo maana ilikuwa easy kwako.. So kujuana kuna matter hapo.
 
Wakuu ofisi za hao EROLINK zipo wapi?kuna dogo mmoja kamaliza chuo nimuagizie na yeye akapata uzoefu wa interview!

nyuma ya petrol station pale morocco.
 
wameshahama pale wanapatikana masaki opposite marrybrown mm niko chini yao as vodacom customer carer wananisogezea siku kuliko kukaa nyumbani.

hongera.
 
kutokuitwa mtu mmoja huwezi kuwahukumu,asa kama mtu hafai haijalishi ni mara ngapi ameomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…