Error wakati wa ku flash simu

gm man

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
1,177
Reaction score
1,455
Wakuu,

nilikuwa na flash simu yangu then bahati mbaya pc ilitaka kuanguka so nilipoidaka simu ika chomoka na process iksimama
sasa kila nikijaribu ku flash tena inakataa, simu hiwaki lakini ile taa nyekundu ya charge inawaka ila haioneshi kama chaji inaingia

Naomb msaada wa kulitatua tatizo hili

cc: Mkwawa
 
Simu gani??
 
Simu gani, (hili ndio swali la msingi)

Baadhi ya simu zina test point ambazo hata kama imeshindww kuwasilana na pc unaunga jumper unaiwezesha.

Ila nyinginezo ni mpaka upeleke ikapigwe JTAG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…