super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 2,339
- 1,888
Ukute ndo Alli Bananga aliyehamia CCM.Wale wafia chama CHADEMA akiwemo Erythrocyte na salary slip namuona tu Erythrocyte je huyu Salary slip aliamua kuhama chama au ndio kaamua kwenda na mipango yake binafsi
Erythrocyte binafsi naomba unijuze au ndio chama kilimpoteza
Yupo kila siku.Wale wafia chama CHADEMA akiwemo Erythrocyte na salary slip namuona tu Erythrocyte je huyu Salary slip aliamua kuhama chama au ndio kaamua kwenda na mipango yake binafsi
Erythrocyte binafsi naomba unijuze au ndio chama kilimpoteza
Kashakufa hiyo akaunti anatumia Rose....Ukute ndo Alli Bananga aliyehamia CCM.
Nimemuona mkuu,vp mzee tupatupa wa lumba mara utamsikia sasa nipo london au Dodoma au uchaguzi wa tlsYupo kila siku.
Namjua vizuri huyo,namtazama tu anavyojifaraguaErythro anakula CCM analala CDM.πππ
Jina lake halisi naniKashakufa hiyo akaunti anatumia Rose....
Ni kipara kipya siku hiziMKWEPA KODI pia haonekani
Nipe codeCode.
...
Jamaa ni keyboard fighter, anachochea kuni watu waandamane yeye akiwa getosema ery yeye hajawahi kukamatwa wala kuvunjwa miguu.
maana kila tukio baya la chadema yeye ndo anatoa habari mungu akulinde
Kikulacho huyoJamaa ni keyboard fighter, anachochea kuni watu waandamane yeye akiwa geto
Erythrocyte watu wanakuchora, ww Endelea kuwa keyboard fighter hapo geto kwako tuu mana ukitoka tuu wanakuvunja miguu au nawe tunakukuta mabwepande au Coco Beach unapiga mbizi πNamjua vizuri huyo,namtazama tu anavyojifaragua
Kumbe habari zake mnazo πKikulacho huyo
Kikulacho ki nguoni mwaoKumbe habari zake mnazo π
Juzi alikua Rozana Pale Buguruni na lishangazi flan hiviJamaa ni keyboard fighter, anachochea kuni watu waandamane yeye akiwa geto
Nilimpa OnyoErythrocyte watu wanakuchora, ww Endelea kuwa keyboard fighter hapo geto kwako tuu mana ukitoka tuu wanakuvunja miguu au nawe tunakukuta mabwepande au Coco Beach unapiga mbizi π
Kwahy Jamaa alikuwa anaenda kukojolea lishangaz Huku anapost JF π kweli Tz ni nchi ya amani sanaJuzi alikua Rozana Pale Buguruni na lishangazi flan hivi
Wenzake wanapigika yeye yupo na simu zake kureport
πNilimpa Onyo
Siku zake zinahesabika
Amuulize .....
Jamaa fala sanaKwahy Jamaa alikuwa anaenda kukojolea lishangaz Huku anapost JF π kweli Tz ni nchi ya amani sana