A
Anonymous
Guest
Nilisafiri October 2023 ambapo escalator za terminal two zilikuwa hazifanyi kazi. Mwaka huu nasafiri tena nakuta escalator hazijatengenezwa.
Kimisingi nimeumia kuona wamama ambao kutumia ngazi ni shida wanalalamika kupanda.
Nadhani ni vyema kuzingatia wenye mahitaji maalumu. Nimeshudia wamama zaidi ya mmoja wakilalama kuhusu kupanda kwenda juu ili kudeparture.
Jamani eekh! Pale ni parefu sana, kwa watu wenye shida na ngazi wanaumia.
Ngazi zitengenezwe.