Ama kweli wahenga walisema adui yako muombee njaa. Escrow account sasa ya sababisha kupanda kwa bei ya pesa za kigeni na kuonyesha shahili dhahili madhaifu ya serikari katika kujenga uchumi isipokuwa kusaidia kuubomoa. Hakika hakutakuwa na mabaliko daima dumu bila watanzania kufanya maamuzi magumu, siasa bila uchumi haishibwi isipokuwa inatufanya kuonekana kichekesho!