Escudo ina tatizo la kumiss.Nini inaweza kuwa shida?

Admin1988

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
1,603
Reaction score
1,848
Wakuu naomba ushauri,
Escudo yangu vitara ya 2003.
Engine 3Y.
Ina miss miss sana.
Na haina NGUVU mlimani wala speed mwisho 40/60.

Nini tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuanze na misfire ama kibongo wanasema misi - kuna moja ya cylinder kwenye gari lako inashindwa kufanya kazi inavyotakiwa, haitoi moto unaotakiwa.

Misfire husababishwa na kati ya vifwatavyo;

Spark plugs, mchanganyiko usioeleweka wa oxygen na mafuta, ama low compression

Tukija kwenye kukosa nguvu;

Fuel filter chafu, low compression, air filter chafu ama imeisha, sensa ya camshaft haifanyi kazi inavyotakiwa, Maf sensor imekufa, nozzle hazitoi inavyotakiwa, ama fuel pump haiko sawa na mengine meeeeengi yanaweza kusababisha gari kukosa nguvu hata ma spark plugs yakiwa yamechoka yanasababisha kukosa nguvu

Cha muhimu nenda kwa fundi anayeeleweka ama mpigie huyu jamaa atakusaidia 0746121263 richard
 
Sawa mkuu.
NASHUKURU SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom