Tuanze na misfire ama kibongo wanasema misi - kuna moja ya cylinder kwenye gari lako inashindwa kufanya kazi inavyotakiwa, haitoi moto unaotakiwa.
Misfire husababishwa na kati ya vifwatavyo;
Spark plugs, mchanganyiko usioeleweka wa oxygen na mafuta, ama low compression
Tukija kwenye kukosa nguvu;
Fuel filter chafu, low compression, air filter chafu ama imeisha, sensa ya camshaft haifanyi kazi inavyotakiwa, Maf sensor imekufa, nozzle hazitoi inavyotakiwa, ama fuel pump haiko sawa na mengine meeeeengi yanaweza kusababisha gari kukosa nguvu hata ma spark plugs yakiwa yamechoka yanasababisha kukosa nguvu
Cha muhimu nenda kwa fundi anayeeleweka ama mpigie huyu jamaa atakusaidia 0746121263 richard