Hii ni ESCUDO au GRANDA ESCUDO? Maana wauzaji wengine wanaiita GRAND wengine wanaiita ESCUDO tu. Sasa katika calculator ya TRA gari hizi mbili zinatofautiana sana ushuru, GRAND ina ushuru mkubwa mno, na hii ushuru wake ni mdogo na ndy gari nzuri. Wenye uzoefu tujuzane ushuru wa hii ni ngapi. Waliowahi kuingiza hii gari tujuzane
HII NDIYO NAYOITAKA MIMI.
HII NI GRAND ESCUDO Chassis # TX92W-101419