Kuuliza si ujinga jamani.
Mimi nimekuwa nikilisikia hilo muda mrefu sana na nimekuwa nikijiuliza, nini asili ya hiyo sentence "Eskimo Joe".
Mara nyingi nimekuwa nikisikia Black Americans wakilitumia kwenye nyimbo zao.
Kitu kilichonifanya niitafute hiyo maana kwanguvu ni baada ya kutazama movie "Django Unchained" ambayo ina-refrect matukio ya miaka ya 1850(enzi za utumwa Marekani) kama sikosei.
Nilishaanga jamaa wakiulizana humo "where did the niggers got those words?", yaani "eskimo joe." Hivyo mimi pia nikaanza kutafuta chanzo chake.
Nimefanikiwa kukutana na band moja ya rock nchini Australia ikitumia jina hilo kama maana ya kwanza na maana moja nyingine yenye ukakasi kidogo.
Mwisho kabisa nikasema ngoja nirudi nyumbani jf.
Kwa wale ndugu zetu kina papa Kiranga, Nyani Ngabu na wengine waliofanikiwa kuishi na Blacks na wote wanaoweza kutoa maana ya hayo maneno.
Asanteni.