Esma platnumz mimba yake kutoka

Esma platnumz mimba yake kutoka

Dunia yakoo

Senior Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
139
Reaction score
214
“Nilikuwa na mimba siku ile Aunty Ezekiel ana birthday yake. Kweli Petit alisafiri aliporudi mimi nilikuwa hospitali kama Juma alivyosema, ndio hivyo mimba yangu iliharibika ndio maana hukutuona pale kwa birthday ya Aunty.” - Esma

“Mimi na Petit tumerudiana imekuwa muda kidogo lakini wote tulikuwa katika mahusiano, yeye kwa yake mimi kwa yangu. Tuseme labda kitu kikubwa ni watoto ambao wameturudisha. Tahiya alikuwa ni wa kwanza yaani alikuwa anampenda Petit, Taraji naye pia hivo. Hata nikijaribu kuwaweka mbali lakini watoto utakuta wamempigia simu.

“Kuna wakati Petit anamchukua Tahiya na kumpeleka shopping, ukimuuliza hivi vitu kakununulia nani kuna wakati anaficha lakini kuna wakati anasema uncle Petit ndio
kaniletea. Ilifika tu tukaona kila mtu awache mahusiano yake turuadiane,” alisema Esma



e.jpg
 
Mara nyingi watoto wanarudisha mahusiano ya wazazi
 
Uyo jamaa aliesuka ni msanii wa Kenya au?
 
Back
Top Bottom