Esmaeil Qa'ani, kamanda wa Kikosi cha Quds awasili Iraq kwa ziara rasmi

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Esmaeil Qa'ani, kamanda wa Kikosi cha Quds cha Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, amewasili Baghdad na amepangwa kukutana usiku wa leo na viongozi wa makundi ya Washia kujadili kutatua migogoro yao.

Katika wiki mbili zilizopita, kutokubaliana miongoni mwa viongozi wa Washia wanaohusishwa na Jamhuri ya Kiislamu kuhusu uwaziri mkuu kumefikia kilele.
 

Attachments

  • IMG_20260419_121224_340.jpg
    91.4 KB · Views: 17
Jamaa ni Agent wa Mossad..
 
Huyu kuna kipindi nliona tetesi wanasema yupo kwenye payroll ya wajomba wa MOSSAD
 
Yaani wewe huku mtumbwini ujue huyo ni Agent na Iran wasijue kweli?!
Tupunguze ujuaji waTanzania.!
Lisemwalo lipo wewe uendelea kunywa uji wa ubuyu pale Central Tanganyika...
 
Lisemwalo lipo wewe uendelea kunywa uji wa ubuyu pale Central Tanganyika...
Take it, kila kitu kimekuwa framed kiwe kama kilivyo.! Yaani wewe unatakiwa uelewe hivyo na si vinginevyo.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…