PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
This is Africa
Madagascar, alafu hata haeshimiwi, Waarabu wanajiona Mungu watu sana wanafanya lolote na hawafnywi kitu hasa hawa waMoroco.Hivi Rais anatoka nchi gani
Ndio maana waarabu wanamuona chokoMadagascar, alafu hata haeshimiwi, Waarabu wanajiona Mungu watu sana wanafanya lolote na hawafnywi kitu hasa hawa waMoroco.
Ingekuwa Wydad imetokea Sub saharan huku Mama yangu Rungu ambalo wangelipata hawangelisahau.
Ipo haja ya HQ kutolewa Egypt iende hata S.A au Angola
Tunapenda pesa kuliko kazi....Waafrika sijui tunakwama wapi ?!