Espionage; How agents transmit findings

mwenge wa uhuru,sambamba na vitu vingine -tanzania
 
What about magazine and newspaper s
 

Mkuu nimefurahi kwa ujuvi wako alooo
 
Mkuu vizuri saaana kiintelejensia.
 
Siku hizi wanatumia drons ku-access mobile communications,

Drons hizi zinapopaa angani zinatengeneza minara ya simu feki, na kukusanya taarifa za watumia wa simu za mikononi waliopo ardhini, mfano mzuri katika mikutano ya vyama Vya siasa pale jangwani.

Kifaa hiki kinatengenezwa USA, na bei yake ni USD 145,000.
 
Te Teknolojia ina nguvu sana. Ina rahisisha mambo na inaleta ufanisi pia
 
1) Mleta mada,katika aya ya kwanza umeelezea maana ya ujasusi katika sehemu moja tu ,yaani ujasusi wa kimataifa.
Kuna ujasusi kati ya mtu na mtu,familia na familia ,jamii moja na jamii nyingine.

Nikupe mfano mmoja wa kawaida kabisa, Wazee wetu na baadhi yetu mimi nikiwa mmoja wapo,tuolikulia vijijini enzi hizo ,wakati wakuoa ukifika unaanza kupeleleza binti unaekusudia kuoa.

Sasa hapo kuna uchunguzi wako binafsi, wa wakubwa zako(Shangazi , Wajomba,Kaka na hataMarafiki zako).

Na upande wa pili vilevile ,ikiwa kwako(kwenu) mmemaliza ujasusi wenu na kuafikiana kijana aendelee anawasiliana na binti,hata hivyo naye upande wao wanafanya ujasusi kwenu, wakiona itilafu wanakutolea nje.

Point yangu ni kwamba kuna ujasusi wa aina(fani)tofauti nyingi.

2)Katika mfano wako wa kwanza wa Sigara au Kiko, hujauelezea angalau kidogo.
 
Ahsante sana mkuu. Ila ukiangalia kwa makini utagundua kua, espionage ina nyanja nyingi ( ikiwemo izo ulizozitaja ) ila uzi wangu umelenga hasa nyanja za kimataifa, kati ya taifa na taifa. Ndiyo maana ata ukuangalia izo njia nilizozitaja hapo juu, zipo somehow tricky. Natambua mchango wako nashukuru.

Kwenye suala la kiko/sigara. Kama ni kiko basi hua inatengenezwa na spies wenyewe, ndani ya kiko kunakua na chamber ndogo ambayo inatumika kuhifadhia taarifa, chanber iyo haidhuriki na lile joto linalotokana na joto au moto utumikao kuvuta iyo kiko. Kwenye sigara vivi ivyo, hua wanatumia material tofauti ya karatasi ambayo, huwekwa kwenye kipisi au sehemu ya mwisho kabisa ya sigara. Material hayo hua hayashiki moto kirahisi pia
 

Sina mpango wa kujitoa JF kwa uhondo huu duuh wakuu leteni mambo, simuoni mamndenyi, Toto la kichaga hapa
 

Je ile njia ya Umbrella ikoje?, maana wajuzi wanalonga kwenye ncha ya mwamvuli wa Agent X kuna tundu ndogo then kuna goroli amabyo ndani yake kuna kua na taarifa mbalimbali na X akikusudia kumpa Agent Q hasa maeneo ya mkusanyiko hasa baa au hoteli, Q anajifanya kukosea anachukua mwamvuli wa x, ni sahihi wajameni mkuu Panzermeyer nijuze tusiingizwe cha kike
 
Ndiyo mkuu iyo ipo pia katika njia za ku transmit taarifa.

Ila pia iyo umbrella method pia hutumika kufanya mauaji. Kama yale yaliyofanywa dhidi ya Georgi Markov
 
Ndiyo mkuu iyo ipo pia katika njia za ku transmit taarifa.

Ila pia iyo umbrella method pia hutumika kufanya mauaji. Kama yale yaliyofanywa dhidi ya Georgi Markov
Talk more
 
Umesahau ile ya kuonana ana kwa ana sehemu za mafichoni kama underground garages. Na kumtumia njiwa anayekuwa trained.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…