Panzermeyer
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 471
- 325
- Thread starter
-
- #61
Mkuu,huo mwavuli unakua unaweza kua assembled kwa kutoa kile sehemu ya mbele ya kichuma cha mwamvuli na kuweka taarifa au risasi, kwa kutegemea matumizi ya huo mwavuliTalk more
Ndiyo mkuu. Nashukuru kwa mchango wako.Umesahau ile ya kuonana ana kwa ana sehemu za mafichoni kama underground garages. Na kumtumia njiwa anayekuwa trained.
Classified hapa tz. Ila nchi za watu, kuna vitabu na documentaries za kutosha kuhusu aya mambo. Karne ya 21 hiiDuh,..classified informations.
Classified hapa tz. Ila nchi za watu, kuna vitabu na documentaries za kutosha kuhusu aya mambo. Karne ya 21 hiiDuh,..classified informations.
Not anymoreClassified ads
Say amen to science and technologyDUUH ASEEE
Ipi iyo mkuu???Hii sawa ilitumika sana.... Na pia inaendelea kutumika.... Kukua kwa technology imeua njia nyingine na kufungua njia za kisasa zenye ulinzi wa hali yajuu
Exactly. And some are still in use even todayCold war espionage tactics!!!
Hahaha, mkuu unaweza pata vitu vichache sana kwa kutumia iyo. Tena visivo na umuhimu mkubwasisi ma spai wa kisasa tunatumia whatsap na instagram basi na ujumbe unafika
dah broo upo deep kama sio deeper.Hahaha, mkuu unaweza pata vitu vichache sana kwa kutumia iyo. Tena visivo na umuhimu mkubwa
Itategemea uyo spy anafanya kazi wapi. Mfano, kama ni kenya basi utahitaji kua na ufahamu wa English. Kama ni India, basi utahitaji uwe na ufahamu wa english na kihindi kiasi flani.dah broo upo deep kama sio deeper.
naomba nikuulize maswali kadhaa ili uwe jasusi(mkusnya taarifa na mtoaji kimataifa) unapaswa uwe unajua angalau imternational language ngapi mkuu?
There is always a next time broI real wish tungekua tunaongelea TISS na sio CIA/KGB/MI6
Wewe ndiyo hauelewi kua Uzi huu umelenga kuzungumzia njia za kusafirisha taarifa na sio suala ya lugha za maneno au ishara.Unajua nyinyi hamjui kuwa kila spy agency inakuwa ina-develop either a language that they only know and understand. Maandishi,alama,na namba zinazoweza kutafsiriwa kupata information kamili.
Pia,media kama hizi hutumika pale agent anapokuwa kwenye deep cover.Mfano,if you are close to the source it could be your wife,husband,friends or your boss. Lakni kama haupo deep cover its not necessary.
Nchi kama zetu na soviet zamani wao ndio wanapenda kuweka watu wao pahala huku waki anticipate jambo kabla halijatokea.
Mfano, mtu fulani anitwa Y yeye ni mtu prominent or anapossibilities za kuwa useful for some important work. So the agency will put an agent close without someone to notice "supposedly just a coincidence"