Espionage; How agents transmit findings

Kwa maana hiyo ukiwa agent hupaswi kua na marafiki wapya? ama yeyote ambae ata taka kua rafiki yako ina bidi agency ifanye hyo vetting ili uweze kuendelea na urafiki na hao wapya?
Unaingia kwenye uzi mwingine wa a spy
Jasusi anaishi kwa mashart mpaka atakapokufa, kila uhusiano mpya uwe monitored and clear vetting , kwani unaweza ambiwa hama ukahama, mtarakishe huyo mke ukafanya, vunja urafiki wako mpya au wa zamani hayo ni kawaida kwa jasusi, kwani TRUST GET YOU KILLED.
Pia katika mafunzo au maelekezo ya ukusanyaji na usambazaji taarifa za kijasusi uelekezwa namna ya kuwadump wote waliotumika au kuwachota ili awatumie
 
mh hapa mahali pamenizidi uwezo mnooo ila nafurahia darasa.

sasa mkuu hebu TUPE MAUTUNDU YA KUTUMIA CODES...
TEBOTAPING'...
SIJUI ciphers
krypto n.k

ntafurah sana ukiweka ktk lugha rahisi kueleweka
 
mh hapa mahali pamenizidi uwezo mnooo ila nafurahia darasa.

sasa mkuu hebu TUPE MAUTUNDU YA KUTUMIA CODES...
TEBOTAPING'...
SIJUI ciphers
krypto n.k

ntafurah sana ukiweka ktk lugha rahisi kueleweka
Mhhhhhhhh!!!!?????
 
Eli Cohen the impossible spy from Tel Aviv alikua anatumia njia ya kawaida tu kwa kipindi hiko kitransmit taarifa from.Syria.
Alikua anarusha mawimbi ya radio.
 
vipi ndugu mbona mguno mreeefu au nimekosea uandishi tumwite faizafoksi aje kuweka correction?
Mimi naona wote mpo full aware na mambo ya usalama kwa undani kabisa then huyo mama wakuitwa faiza ni noma sana
 
Mimi naona wote mpo full aware na mambo ya usalama kwa undani kabisa then huyo mama wakuitwa faiza ni noma sana
huyo mama usiombe ukosee kosee kiuandishi yani namfananisha na yule mzee anaitwa kifimbo cheza ktk magazeti ya siku za nyuma
 
From transmission to execution of espionage, Kuna event ilotokea Iran mwaka 1976 if not mistaken inaitwa "iran hostage crisis" wanamapinduzi walivamia ubalozi wa marekani Tehran na kukamata wafanyakazi wote kasoro sita waliotorokea ubalozi wa Canada hapo Tehran, unajua hap sita waliokolewaje???

CIA walituma agent aliejifanya Hollywood movie maker akaingia Tehran kutengeneza movie,wale mateka 6 ndio walikua cast wa hiyo movie,wakapewa Canadian passports na wakazuga zuga Iran pale na haooooo wakaokolewa..........hii mission iliitwa ARGO (jina la fake movie)ilotumika kama undercover ya hiyo mission.
 
i know the movie but sikuwahi kujua kama hiyo misheni iliwahi kuwako
 
Let me 'remind you juu ya vyanzo vya hizo findings ni vema tungeanza na how informations obtained na Hawa majasusi then tukamalizia na transformation
 
Kwa maana hiyo ukiwa agent hupaswi kua na marafiki wapya? ama yeyote ambae ata taka kua rafiki yako ina bidi agency ifanye hyo vetting ili uweze kuendelea na urafiki na hao wapya?
umeniquote vibaya fuatilia mtiririko wa mazungumzo yetu na mleta mada utanielewa
 
Kwa maana hiyo ukiwa agent hupaswi kua na marafiki wapya? ama yeyote ambae ata taka kua rafiki yako ina bidi agency ifanye hyo vetting ili uweze kuendelea na urafiki na hao wapya?
mku naomba pitia post ya 91,94,95 & 96 labda utaweza elewa kwanini nilisema vile. wala sijaandika popote kwamba waajiri wanakataza marafiki wapya; au labda lazima wafanyiwe vetting; haha mku hakuna kitu kama hicho.
 
STROKE

Hakuna taasisi ya intelligence dunia ambayo aidha, haina double agents au haijawahi kua nao, katika historia yake, tokea ilivyoanzishwa.

Tafsiri yake ni kwamba , licha ya juhudi zote zinazofanya na vyombo vya usalama, kuchunguza na kugundua marafiki, ndugu na jamaa za wafanyakazi wao, bado hua wanashindwa. Kwasababu, binadamu ni social creature, kwaiyo, kila baada ya mda, wigo wa marafiki ( huu ni uharirisia wa maisha kwa 100% ) hua unaongezeka na kupungua, kwa kupata marafiki wapya kila baada ya muda na kupoteza marafiki wa zamani au mwanzo. Binanadamu anaenda sehemu za starehe kama bar na kwenye harusi na parties zinginezo, kwenye matamasha kama nyama choma, anaenda mikoani kusalimia ndugu, nje ya nchi kwa ajili ya likizo, anachat kwenye mitandao ya kijamii nk. Kwaiyo sio rahisi kwa taasisi kuweza kumchunguza kila spy ambaye ni mwajiriwa wao, 24/7 na siku 365 kuanzia siku ya kwanza ameanza kazi mpaka siku anayo staafu.

Ndiyo maana usaliti upo na ukwepeki. Tena kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia, si rahisi kumfatilia mtu, hasa kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, twitter, WhatsApp, nk. Mfano mzuri ni humu jf ambapo sehemu kubwa ya watu wanatumia fake id/usernames

Kwaiyo, spy anaweza kua na marafiki nji za jirani au nje na taasisi inaweza kutogundua juu ya uwepo wa ilo suala.

Kwaiyo hoja yako uliyoitoa, nikiiweka kwenye jaribio au test ya haya maelezo yangu, inakosa uzito na inapwaya kabisaa.
- karibu tujadili hoja -
 
Kwa maana hiyo ukiwa agent hupaswi kua na marafiki wapya? ama yeyote ambae ata taka kua rafiki yako ina bidi agency ifanye hyo vetting ili uweze kuendelea na urafiki na hao wapya?
Sio kweli. Ukiwa agent, haikuondolei ubinadamu wako. Bado utaweza kupata marafiki wapya tena, wengine hawata fuatiliwa kabisa.

Mtu pekee ambaye taasisi itamfatilia kwa makini ni yule anayetarajiwa kua mke au mme. Huyu ndo mtu anayepewa kipaumbele sana katika suala lazima la kuchunguzwa na kufahamika na tasisi
 
Ile Mi CIA ya marekani ile miwani yao myeusi wanayovaa ina kila kila kitu inarecord na inarusha video Pentagon muda huohuo.

kwa hiyo unataka kutudanganya pentagon ndio makao makuu za CIA??

na Langley ni wapi??
 
Yes, na katika yote hayo uliyoyasema, makosa hufanyika na hupelekea kufungua milango / mianya kwa uwepo wa double agents
 
mh hapa mahali pamenizidi uwezo mnooo ila nafurahia darasa.

sasa mkuu hebu TUPE MAUTUNDU YA KUTUMIA CODES...
TEBOTAPING'...
SIJUI ciphers
krypto n.k

ntafurah sana ukiweka ktk lugha rahisi kueleweka
Yaani hayo mambo siyajui kabisa mkuu. Naomba uniwie radhi
 
Eli Cohen the impossible spy from Tel Aviv alikua anatumia njia ya kawaida tu kwa kipindi hiko kitransmit taarifa from.Syria.
Alikua anarusha mawimbi ya radio.
Na ndiyo hapo watu wajue kua, taasisi haziwezi, mda wote, kufatilia nyendo za waajiriwa wake. Kwaiyo mianya ya usaliti na uwezo wa ku-transmit nyalaka ipo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…