Panzermeyer
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 471
- 325
- Thread starter
-
- #121
What a brilliant and astonishing accomplishment. Bravo to the US ( C I A )From transmission to execution of espionage, Kuna event ilotokea Iran mwaka 1976 if not mistaken inaitwa "iran hostage crisis" wanamapinduzi walivamia ubalozi wa marekani Tehran na kukamata wafanyakazi wote kasoro sita waliotorokea ubalozi wa Canada hapo Tehran, unajua hap sita waliokolewaje???
CIA walituma agent aliejifanya Hollywood movie maker akaingia Tehran kutengeneza movie,wale mateka 6 ndio walikua cast wa hiyo movie,wakapewa Canadian passports na wakazuga zuga Iran pale na haooooo wakaokolewa..........hii mission iliitwa ARGO (jina la fake movie)ilotumika kama undercover ya hiyo mission.
Hahaha mkuu, kwa heshima na taazima, naomba uanzishe huo uzi. Sisi wengine tutakua wachangiajiLet me 'remind you juu ya vyanzo vya hizo findings ni vema tungeanza na how informations obtained na Hawa majasusi then tukamalizia na transformation
boss, it might be true that putting close surveillance on each and every member of the intelligence community can sometimes be seen as a challenging task.Na ndiyo hapo watu wajue kua, taasisi haziwezi, mda wote, kufatilia nyendo za waajiriwa wake. Kwaiyo mianya ya usaliti na uwezo wa ku-transmit nyalaka ipo tu
Sure, but in the end, they are just," flesh and bones". That just like any other person, they are corruptible. Because they live in the same community like we do, so they are exposed to all sorts of evils tests and temptations. Speaking of which, you can not eradicate the problem of moles.boss, it might be true that putting close surveillance on each and every member of the intelligence community can sometimes be seen as a challenging task. but bare it in your mind kwamba hawa jamaa wanakuwa na the most strict codes of conduct and ethics ambazo hawapaswi kukiuka hata kwa chembe moja ya mchanga. kwa hiyo kujumuika katika jamii sio big deal as long as you fully adhere to the laid out standards and practices of your trade, hakuna tatizo. On top of that, hawa jamaa wanapokuwa course the fore most element their instructors always try to instill into these juniors' minds is nothing than "PATRIOTISM".........love for their country...........huwa wanawekwa wazi umuhimu wao katika kufanikisha suala zima la ulinzi na usalama wa taifa, ndio maana huwa hawaokoti okoti tu wahuni mtaani kisha wakawaleta humu. Pia wapo wengi wanaolalamika kuwa kazi katika hizi idara ni za kupeana ki undugu, bila kujua kama hiyo nayo ni hatua moja wapo ya kuzuia "double agents and moles"
boss, with respect to what i wrote before, no matter how corrupt the officer may turn to be (as they are made to be incorruptible), these agencies have "zero tolerance" policies in place, the bleach of which would cost the officer's neck and find himself placed on the gallows (with respect to Iran for instance)Sure, but in the end, they are just," flesh and bones". That just like any other person, they are corruptible. Because they live in the same community like we do, so they are exposed to all sorts of evils tests and temptations. Speaking of which, you can not eradicate the problem of moles.
I appreciate your thinking. You are awesome. When they instill the spirit or concept of patriotism into the agent's heads, it is like, they are basically presenting the agent's with a MORAL COMPASS, with which, they will be using to operate or discharge their duties in the realm of intelligence. But even moral compasses sometimes, can be corrupted
Dboss, with respect to what i wrote before, no matter how corrupt the officer may turn to be (as they made to be incorruptible), these agencies have "zero tolerance" policies in place, the bleach of which would cost the officer's neck and find himself placed on the gallows (with respect to Iran for instance)........the agency itself is fully aware of all those sort of infiltration attempts and leakages, and are doing enough to lessen the impacts. Summary executions can sometimes be used to intimidate and deliver clear message to the community..........mark my words..............the agencies are fully aware of all those sort of infiltration attempts and leakages, and are doing enough to lessen the damages inflicted.
Deterrence tactics work, but they are not 100% effective enough to avoid agents from switching their allegiance. That is, like you said, they help to reduce the chances of the likelihood of the emergence of double agents. But they don't solve the problem, utterly.boss, with respect to what i wrote before, no matter how corrupt the officer may turn to be (as they made to be incorruptible), these agencies have "zero tolerance" policies in place, the bleach of which would cost the officer's neck and find himself placed on the gallows (with respect to Iran for instance)........the agency itself is fully aware of all those sort of infiltration attempts and leakages, and are doing enough to lessen the impacts. Summary executions can sometimes be used to intimidate and deliver clear message to the community..........mark my words..............the agencies are fully aware of all those sort of infiltration attempts and leakages, and are doing enough to lessen the damages inflicted.
boss, when it comes to espionage business, there would sometimes be technical flaws in human resources management just like in commercial enterprise arrangements. but the fact that deterrence tactics would sometimes prove ineffective doesn't offer enough justification to not have some in place and execute them.D
There is a philosopher who said, and I quote," chaos is the natural order"
Deterrence tactics work, but they are not 100% effective enough to avoid agents from switching their allegiance. That is, like you said, they help to reduce the chances of the likelihood of the emergence of double agents. But they don't solve the problem, utterly.
Some behaviours, like betrayal are part of our lives. No matter how hard we try to do away with them, they will just persist or linger. And, their genesis, can be traced back to ancient civilizations.
There was a philosopher ( I don't remember his name ) who once said," chaos is the natural order ". To mean, some things, co-exist with the presence of human beings, they will endless endure all human efforts and attempts to get rid of them. Because, they are here, in our lives to stay.
Just like, no matter how many prisons and courts we build, there wont come a day when, all crimes will be put to and end in our communities
Sawa mkuuu. Bora kitu kuliko kukosa kitu. Bora tu zitumike hata kama hazina ufanisi wa 100%boss, when it comes to espionage business, there would sometimes be technical flaws in human resources management just like in commercial enterprise arrangements. but the fact that deterrence tactics would sometimes prove ineffective doesn't offer enough justification to not have some in place and execute them.
poa poa bossSawa mkuuu. Bora kitu kuliko kukosa kitu. Bora tu zitumike hata kama hazina ufanisi wa 100%
Pamoja sanapoa poa boss
Sure, but in the end, they are just," flesh and bones". That just like any other person, they are corruptible. Because they live in the same community like we do, so they are exposed to all sorts of evils tests and temptations. Speaking of which, you can not eradicate the problem of moles.
I appreciate your thinking. You are awesome. When they instil the spirit or concept of patriotism into the agent's heads, it is like, they are basically presenting the agent's with a MORAL COMPASS, with which, they will be using to operate or discharge their duties in the realm of intelligence. But even moral compasses sometimes, can be corrupted
Unaenda mbali sana hususan kwa majasusi wafanyabiasharaD
There is a philosopher who said, and I quote," chaos is the natural order"
Deterrence tactics work, but they are not 100% effective enough to avoid agents from switching their allegiance. That is, like you said, they help to reduce the chances of the likelihood of the emergence of double agents. But they don't solve the problem, utterly.
Some behaviours, like betrayal are part of our lives. No matter how hard we try to do away with them, they will just persist or linger. And, their genesis, can be traced back to ancient civilizations.
There was a philosopher ( I don't remember his name ) who once said," chaos is the natural order ". To mean, some things, co-exist with the presence of human beings, they will endless endure all human efforts and attempts to get rid of them. Because, they are here, in our lives to stay.
Just like, no matter how many prisons and courts we build, there wont come a day when, all crimes will be put to and end in our communities
hahaha yaani jibu lako nalifana nisha na la wazee wa kazi hata wakidungwa truth serum hubakia na jibu moja tu kama hilo la kwakoYaani hayo mambo siyajui kabisa mkuu. Naomba uniwie radhi
Sawa mkuu, ngoja aje hapahahaha yaani jibu lako nalifana nisha na la wazee wa kazi hata wakidungwa truth serum hubakia na jibu moja tu kama hilo la kwako
I dontknow Whatyouare tokingabout.
sawa mkuu mi nimekupata may be infantry soja anaweza kutupa ubuyu kidogo...
Triangle (pembe tatu ). Hivi wajua kuwa umejibu jibu jepesi sana mkuu? Kwani kufuatiliwa mawasiliano yako kabla na baada ya kuwa recruited ni jambo la kawaida. Na kuanzia hapo itakuwa ni raisi sana kufahamu kuwa huo mkufu wako uliupata kwa sababu gani?Karne ya 21 hii. Maendeleo ya technology na kukua kwa kasi ya mawasiliano kupitia Facebook, WhatsApp, instagram, twitter nk watu wanaweza wakasiliana na ku-cross borders na mpaka kufikia hatua ya kuonana/kuoana nk ( watu huweza aminiana na mpaka kufikia hatua ya kepeana siri na kua recruited kama double agent )
Fikiria mazingira ambayo mtu kwenda vacation / likizo nje ya nchi. Anaweza kutana na rafiki ambaye ni spy wa taifa husika na kua recruited kama double baada ya mda flani wa mawasiliano na kuaminiana
Kuna updated comment kuhusu iyo hoja, ikl kurasa za mbele, naomb uifatilieTriangle (pembe tatu ). Hivi wajua kuwa umejibu jibu jepesi sana mkuu? Kwani kufuatiliwa mawasiliano yako kabla na baada ya kuwa recruited ni jambo la kawaida. Na kuanzia hapo itakuwa ni raisi sana kufahamu kuwa huo mkufu wako uliupata kwa sababu gani?
Sina nyama za kumalizia hilo swali langu bro endelea tuHahaha mkuu, kwa heshima na taazima, naomba uanzishe huo uzi. Sisi wengine tutakua wachangiaji
kuna siku moja nilikwenda kumtembelea dada yangu nchi moja ya jirani hapa africa. ilipofika mida ya jioni nikaona ni vema ninyooshe miguu kwa kwenda sehemu za kati kati ya mji nikiwa na binti yake mdogo wa miaka 5 kwa kuwa nilikuwa bored kukaa tu home kwa siku nzima. nikiwa ninatembea pembezoni mwa barabara kuelekea huko city center nilihisi kulikuwa na mtu anatembea sambamba na mimi ila akiwa upande wa pili wa barabara. huyo mtu alikuwa ana muonekano mchafu kama mtu wa kubeba takataka. nikawa kila nikiongeza speed ya kutembea na yeye pia anatembea kwa speed kama yangu lakni yeye akinitangulia kwa umbali wa mita chache sana, na nikipunguza tu mwendo na yeye anapunguza. nilijaribu kujifanya kuangusha kalamu (pen) yangu kwa makusudi kwa nyuma nikiwa ninatembea kisha nikajifanya kama ninarejea kuifuata, yeye akawa anasimama huku anazuga kama vile anajikuna mgongoni kwa muwasho. hapo sasa ndipo machale yaliponicheza nikaamua kuahirisha safari na kurudi nyumbani nilipofikia. kuanzia siku hiyo sikwenda tena mbali kutembea mpaka siku narudi nchini mwangu.Sure, but in the end, they are just," flesh and bones". That just like any other person, they are corruptible. Because they live in the same community like we do, so they are exposed to all sorts of evils tests and temptations. Speaking of which, you can not eradicate the problem of moles.
I appreciate your thinking. You are awesome. When they instil the spirit or concept of patriotism into the agent's heads, it is like, they are basically presenting the agent's with a MORAL COMPASS, with which, they will be using to operate or discharge their duties in the realm of intelligence. But even moral compasses sometimes, can be corrupted
kuna siku moja nilikwenda kumtembelea dada yangu nchi moja ya jirani hapa africa. ilipofika mida ya jioni nikaona ni vema ninyooshe miguu kwa kwenda sehemu za kati kati ya mji nikiwa na binti yake mdogo wa miaka 5 kwa kuwa nilikuwa bored kukaa tu home kwa siku nzima. nikiwa ninatembea pembezoni mwa barabara kuelekea huko city center nilihisi kulikuwa na mtu anatembea sambamba na mimi ila akiwa upande wa pili wa barabara. huyo mtu alikuwa ana muonekano mchafu kama mtu wa kubeba takataka. nikawa kila nikiongeza speed ya kutembea na yeye pia anatembea kwa speed kama yangu lakni yeye akinitangulia kwa umbali wa mita chache sana, na nikipunguza tu mwendo na yeye anapunguza. nilijaribu kujifanya kuangusha kalamu (pen) yangu kwa makusudi kwa nyuma nikiwa ninatembea kisha nikajifanya kama ninarejea kuifuata, yeye akawa anasimama huku anazuga kama vile anajikuna mgongoni kwa muwasho. hapo sasa ndipo machale yaliponicheza nikaamua kuahirisha safari na kurudi nyumbani nilipofikia. kuanzia siku hiyo sikwenda tena mbali kutembea mpaka siku narudi nchini mwangu.
Mr Q, hiyo issue sikuwahi msimulia mtu yeyote kwa kuwa nilihisi hawawezi kunielewa. na kwa kweli dada yangu na mumewe ni wageni kabisaaaaaaa wa haya mambo na kamwe wasingeweza kunielewa. cha zaidi ni kwamba wangeweza kuniona kuwa mimi ndio chizi kabisa.maswali.
kwa nini wewe?
tena kwa mida huo?
hukua na nyaraka halali za kuwe.o nchini humo?
au dada yako ni mmoja wao hivyo aliamua kukutumia .tu wa kuangalia mwenendo wako ukiwa na binti yake? coz ninacho amini wale jamaa hawaamini mtu hobyo hovyo hata kama ni ndugu
au wewe ulipata hisia gani juu ya hayo yote? vipi ulimweliza sister? sura yake ilikupa ujumbe gani....
alikua anakutazama usoni wakati una
simulia au alijifanya bze na mambo yake...
maswalieeeengiii utadhani tupo .ahakamani