A
Anonymous
Guest
Habari wana jukwaa,
Naomba kutoa pongezi nyingi kwa Serikali kuturahisishia huduma kiganjani kupitia mfumo wa ESS kwa watumishi wa umma
Kero yangu ni kuwa katika kipengele cha e-mkopo taasisi nyingine binafsi hazijaweka namba ya makato nazungumzia taasisi kama ABC, Maboto, tunakopesha nk zinazofanana na hizo.
Hizi taasisi kinachokwaza kipindi unaenda kuomba mkopo wanakuaminisha muda wote unaweza kuuza deni lako ila ukishachukua tu ukiomba balance hawakupi na wanakukimbia kabisa
Wadau naomba tupige kelele kama taasisi haijawekwa kwe mfumo wa ESS isiruhusu kukopesha
Naomba Serikali itoe mojawapo ya shartI hilo hizi taasisi ziingizwe kwenye ESS mkopo pia kama hazijakidhi vigezo ziache kudanganya watu
Naomba kuwasilisha hoja