Essential AI and Productivity Apps for Professionals: A Comprehensive Guide

Essential AI and Productivity Apps for Professionals: A Comprehensive Guide

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
14,624
Reaction score
20,666
- πŸ† ChatGPT
- IOS ➜
- Android ➜

- ⚑ Socratic AI
- IOS ➜

- πŸ’Ό Perplexity AI
- IOS ➜
- Android ➜

- 🌐 Fireflier.ai
- IOS ➜
- Android ➜

- πŸ–ΌοΈ Canva
- IOS ➜
- Android ➜

- πŸ’‘ Microsoft Copilot
- IOS ➜
- Android ➜

- πŸ“Ό SwiftKey Keyboard
- IOS ➜
- Android ➜

- πŸ“‹ Panini Translate
- Android ➜

- πŸ“Ί Seeing AI
- Android ➜

-Edit-
Kufuatia comment ya TODAYS , Nimeondoa link zote, Iwapo unahitaji App husika tafuta kweny store husika kwa android/ ios. | Video ina maelezo ya kina ya matumizi ya kila app, na mifano.
 
Vitu gani hivi?
==============
Hariri kijana na wakati mwingine utolee maelezo unapoweka link za mitandao isiyofahamika na wadau hapa.

Inaweza kuwa issue nzuri ila waoga wakaogopa kuliwa kichwa kwa sababu ya link za wasiyojulikana.

Unaingia kwa link unakutana mheshimiwa ananasa sura yako, kisha unaenda mikoa 6, na mkoa wa mwisho ndo wasamalia wanaona ndevu somewhere!.
 
chatGPT ndio baba lao umesahau Gemini
perplexity ni Uchafu mtupu
 
Hariri kijana na wakati mwingine utolee maelezo unapoweka link za mitandao isiyofahamika na wadau hapa.

Inaweza kuwa issue nzuri ila waoga wakaogopa kuliwa kichwa kwa sababu ya link za wasiyojulikana.
Maelezo ya kina pamoja na mifano iko kwenye video niliyoweka.
 
Maelezo ya kina pamoja na mifano iko kwenye video niliyoweka.
Kama ni mtaalam wa IT hupaswi kufanya uwasilishaji wa chuo kikuu, kwamba unampa dodoso mwanafunzi then akatafute mwenyewe data.

Toa intro, what is in!.
 
Back
Top Bottom