Maelezo ya kina pamoja na mifano iko kwenye video niliyoweka.Hariri kijana na wakati mwingine utolee maelezo unapoweka link za mitandao isiyofahamika na wadau hapa.
Inaweza kuwa issue nzuri ila waoga wakaogopa kuliwa kichwa kwa sababu ya link za wasiyojulikana.
Kama ni mtaalam wa IT hupaswi kufanya uwasilishaji wa chuo kikuu, kwamba unampa dodoso mwanafunzi then akatafute mwenyewe data.Maelezo ya kina pamoja na mifano iko kwenye video niliyoweka.