Establishment of Private Intelligence Agency in Tanzania

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
Ndugu wa Jukwaa hili wasalamu,

Kuna yeyote anayejua sheria za Jamhuri ya Muungano zinasemaje kuhusu kuanzisha PIA ( Private intelligence agency) kwa Africa wenzetu wa SA wanazo na zinafanya kazi vizuri sana kwa kusaidiana na serikali. Mimi ningependa kujiajiri kwa kuanzisha taasisi hio ambayo ni non govermental .... ingesaidia serikali katika mambo mengi yakiwemo yaki afya, ugaidi, kielimu etc.

Kwa wasiofhamua definition ya PIA

A private intelligence agency is a private sector (non-governmental) organization devoted to the collection and analysis of information, most commonly through the evaluation of public sources (OSINT or Open Source INTelligence) and cooperation with other institutions. Some private agencies make their services available to governments as well as individual consumers; however, most of these agencies sell their services to large corporations with an interest or investment in the category (e.g. crime, disease, corruption, etc.) or the region (e.g. Middle East, Vietnam, Prague, etc.). Some private agencies also provide related services, such as security personnel, surveillance equipment, medical evacuation or traveler's insurance. (source Wikipedia)

More details Private intelligence agency - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Mkuu private investigation agency itakuwa vizuri zaid

Tanzania bado hatujafika level za ku privatize intelligence collection. It is strictly government business

Kwa marekani known private intellligence agencies ni kama STRATFOR. Hii kampuni ndo inaushikilia mwili wa Osama bin laden contrary to belief kwamba amezikwa baharini

Hapa Tanzania kuanzisha jeshi binafsi (military contractors) tu hairuhusiwi na imeanishwa kwenye katiba. Hiki ndo chanzo kilichoifanya JKT iuanganishwe na JWTZ mwaka 1975
 
Kiongozi hebu chungulia kwenye hiyo link hapo chini, je ni tofauti na anachosema NGULI

Tanzania Private Investigators and Detectives, Matrimonial Surveillance, Relationship Investigations, Missing Persons, Background Reports, Surveillance, The Tanzania Private Investigators and Detectives
 
Last edited by a moderator:

Mkuu intelligence agency na investigation agency ni vitu viwili tofauti

Kwa kiswahili ujasusi(intelligence) sio sawa na uchunguzi/upelelezi(investigation)

Ujasusi ni ukusanyagi wa taarifa kabla ya tukio, upelelezi ni ukusanyagi wa taarifa baada ya tukio

Police na TISS wanafanya vitu viwili tofauti
 
It is not a bad idea though, ila wazo langu lilikua kama hilo with the view ya kusaidia upelelezi wa makosa ya jinai, na kuharakisha utatuzi wa kutoa hukumu mahakamani, kuna mrundikano mkubwa wa mashauri mahakamani kutokana na kulemewa kwa idara ya upepelezi wa polisi na majukumu mengi, na pia ufinyu wa resources kuwawezesha wapepelezi kufanya majukumu yao kwa haraka kuipa nafasi mahakama kutoa maamuzi ndani ya muda ambao ni reasonable, ni wazo zuri na changamoto kubwa kwa mifumo yetu ya utoaji haki na usalama,
 
Nguli ningekushauri uende kwenye maduka ya serikali (wanayouza vitabu/Acts) ili uangalie kama unaweza kupata hiyo Act/s unazotaka! Vile ningekushauri uwaulizie na nakala zote zinazohusiana na hicho kitabu ukitakacho!
Na kama kuna amendment yoyote or Gov't gazzetes zinazohusiana hicho ukitakacho usiache kununua!
 
Mkuu intelligence agency na investigation agency ni vitu viwili tofauti

Kwa kiswahili ujasusi(intelligence) sio sawa na uchunguzi/upelelezi(investigation)

Ujasusi ni ukusanyagi wa taarifa kabla ya tukio, upelelezi ni ukusanyagi wa taarifa baada ya tukio

Police na TISS wanafanya vitu viwili tofauti

Mkuu private investigation agency itakuwa vizuri zaid

Tanzania bado hatujafika level za ku privatize intelligence collection. It is strictly government business

Kwa marekani known private intellligence agencies ni kama STRATFOR. Hii kampuni ndo inaushikilia mwili wa Osama bin laden contrary to belief kwamba amezikwa baharini

Hapa Tanzania kuanzisha jeshi binafsi (military contractors) tu hairuhusiwi na imeanishwa kwenye katiba. Hiki ndo chanzo kilichoifanya JKT iuanganishwe na JWTZ mwaka 1975

LILONGO nadhani pia ulianza kwa kuchanganya hizo term mbili ndio maana nikatafuta kujua zaidi.

Kwa kawaida navutiwa sana na wafukunyuzi na unyambuaji wa taarifa za kijasusi NGULI aanze tupate ajira
 
Last edited by a moderator:
Nawashukurumi wote kwa michango yenu murua, na kwa wale wote wenye taarifa wanaweza kuzidi kuchangia niko serious sana kwa hili nimewasiliana na wadau katika sector za sheria kunisaidia some inputs, naiona kama fursa ya kutoa ajira kwa vijana waliopenda kufanya kazi ya kijasusi lakini wakakosa hio nafasi. Kama mjuavyo makaburi yetu yana ndoto nyingi sana ambazo hazikuishwi/not fulfilled ... na ndio maana napenda tujaribu na tusishindwe kujaribu....
 
Mkuu NGULI wazo lako ni zuri. Hebu wadau wa sheria fungukeni basi tuone jambo hili limekaaje?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, Naipenda sana kazi ya Ujasusi . Mambo yakiwa tayari ntafurahi kama utanichukua na tufanye kazi pamoja hata hawa CCM na mambo yao ya vurugu ntawakomesha kwa ushahidi ntakao kuwa nauwakilisha mahakamani maana video na sauti itakuwa ni mwake mwake mgosi
 
Establishment of Private Intelligence Agency in Tanzania
Ndugu wa Jukwaa hili wasalamu,

Kuna yeyote anayejua sheria za Jamhuri ya Muungano zinasemaje kuhusu kuanzisha PIA ( Private intelligence agency) kwa Africa wenzetu wa SA wanazo na zinafanya kazi vizuri sana kwa kusaidiana na serikali. Mimi ningependa kujiajiri kwa kuanzisha taasisi hio ambayo ni non govermental .... ingesaidia serikali katika mambo mengi yakiwemo yaki afya, ugaidi, kielimu etc.

Kwa wasiofhamua definition ya PIA

A private intelligence agency is a private sector (non-governmental) organization devoted to the collection and analysis of information, most commonly through the evaluation of public sources (OSINT or Open Source INTelligence) and cooperation with other institutions. Some private agencies make their services available to governments as well as individual consumers; however, most of these agencies sell their services to large corporations with an interest or investment in the category (e.g. crime, disease, corruption, etc.) or the region (e.g. Middle East, Vietnam, Prague, etc.). Some private agencies also provide related services, such as security personnel, surveillance equipment, medical evacuation or traveler's insurance. (source Wikipedia)

More details Private intelligence agency - Wikipedia, the free encyclopedia

Mnh!! naona umeamua mwaka huu....! Kazana!
 
unataaluma gani mkuu...

Mimi nimesoma Falsafa na sayansi ya siasa katika level ya Uzamili na sasa naelekea kuanza hatua ya uzamivu mwaka huu mwishoni.
 
vipi umepitia jeshi? but kila la heri mkuu binafsi nina taaluma ya mambo ya security kwa level ya degree wazo lako ni nzuri pia kwenye kampuni yako watafute vijana wenye taaluma husika pia wawe maafisa wa jeshi la wananchi au polisi (nyota moja au mbili) utapewa usajili kwa urahisi pia soma sheria ya Usalama wa taifa(TISS Act 1996),(National Security act) National defence act na terrorism act pamoja na sheria ya jeshi la polisi ukishindwa kupata acts hizo ni pm email yako nkutumie PDF
 
Sijasoma jeshi ila kwa umri wangu bado na qualify kuingia jeshini. Ila hao mapolisi uliowataja wako smart kuweza kufanya hio kazi?? nashukuru kwa ushauri wako nitatafuta hizo acts nikikosa sitosita kuku pm email address unitumie.
 
Unajua kuna wakati huwa natamani kuwa na aina fulani ya watu karibu yangu..some people i can discuss security matters with cuz i love learning how these security departments works..i think you guys are smart..!
 
Kaka naomba uni Pm tufanye hiyo issue kwa pamoja, nina uzoefu mkubwa katika Investigation kutoka ktk taasisi nyeti hapa Africa mashrika
 
Back
Top Bottom