Unajua kuna wakati huwa natamani kuwa na aina fulani ya watu karibu yangu..some people i can discuss security matters with cuz i love learning how these security departments works..i think you guys are smart..!
Ndugu wa Jukwaa hili wasalamu,
Kuna yeyote anayejua sheria za Jamhuri ya Muungano zinasemaje kuhusu kuanzisha PIA ( Private intelligence agency) kwa Africa wenzetu wa SA wanazo na zinafanya kazi vizuri sana kwa kusaidiana na serikali. Mimi ningependa kujiajiri kwa kuanzisha taasisi hio ambayo ni non govermental .... ingesaidia serikali katika mambo mengi yakiwemo yaki afya, ugaidi, kielimu etc.
Kwa wasiofhamua definition ya PIA
A private intelligence agency is a private sector (non-governmental) organization devoted to the collection and analysis of information, most commonly through the evaluation of public sources (OSINT or Open Source INTelligence) and cooperation with other institutions. Some private agencies make their services available to governments as well as individual consumers; however, most of these agencies sell their services to large corporations with an interest or investment in the category (e.g. crime, disease, corruption, etc.) or the region (e.g. Middle East, Vietnam, Prague, etc.). Some private agencies also provide related services, such as security personnel, surveillance equipment, medical evacuation or traveler's insurance. (source Wikipedia)
More details Private intelligence agency - Wikipedia, the free encyclopedia
hapa kwetu kuna drizzle detective agency, kuna pia Tanzania private investgation agency...we unazungumzia private intelligence agency duh...kweli uko level za mbali mi namalizia masoma yangu in security and disaster management badae mwaka huu tuwasiliane tupeane maujuzi

kwa sasa chombo pekee cha upelelezi ni Jeshi la polisi (see sect 5) police act.ikitokea chombo private itadeal na taasisi binafsi kama fraud investigation within the company hapo bosi atakuambia uchunguze wafanyakazi ila mambo jamhuri yatabaki kuwa ya chini ya police and intelligence,huwezi kwenda kupeleleza tukio la mauaji,ujambazi nk kama wewe sio mtu wa taskforce.
mkuu kuna siku niliweka mada hapa JF
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/562361-kikundi-au-taasisi-binafsi-ya-masuala-ya-intelijensia.html
nikajibiwa tayari hapa Tanzania kuna taasisi ya masuala ya intelijensia. Japo sijapata kuwafuatilia sana.
ILA NAMI NITAFUNGUA YANGU HIVI KARIBUNI.
Wenzetu waliokwishaanza ni hawa
Tanzania Private Investigation Agency: Private Investigators Tanzania, Kenya, Uganda, Udultery Investigation, Relationship Investigations, Surveillance, Missing Persons, Background Reports, Surveillance, The Tanzania Private Investigators and Detecti
Ndugu wa Jukwaa hili wasalamu,
Kuna yeyote anayejua sheria za Jamhuri ya Muungano zinasemaje kuhusu kuanzisha PIA ( Private intelligence agency) kwa Africa wenzetu wa SA wanazo na zinafanya kazi vizuri sana kwa kusaidiana na serikali. Mimi ningependa kujiajiri kwa kuanzisha taasisi hio ambayo ni non govermental .... ingesaidia serikali katika mambo mengi yakiwemo yaki afya, ugaidi, kielimu etc.
Kwa wasiofhamua definition ya PIA
A private intelligence agency is a private sector (non-governmental) organization devoted to the collection and analysis of information, most commonly through the evaluation of public sources (OSINT or Open Source INTelligence) and cooperation with other institutions. Some private agencies make their services available to governments as well as individual consumers; however, most of these agencies sell their services to large corporations with an interest or investment in the category (e.g. crime, disease, corruption, etc.) or the region (e.g. Middle East, Vietnam, Prague, etc.). Some private agencies also provide related services, such as security personnel, surveillance equipment, medical evacuation or traveler's insurance. (source Wikipedia)
More details Private intelligence agency - Wikipedia, the free encyclopedia
unasoma nchi gani mkuu? some of the courses mlizofundishwa ni zipi?[/QUOTE
tafuta tafuta utajua
Ninaomba mafunzo mkuu