we are selling 100 acres of land suitable for hotels and apartments construction.
situated along the sea front at mapinga area 25 kms from daressalaam city centre.
it has got full title deed and site plan
price is 700,000 US dollars.
interested buyers contact me through my email. somigroup@yahoo.com/ or drop me a message at myphone 0754524206
Mkuu kwa faida ya wengine, hebu fafanua huko Mapinga ni wapi, 25km kutoka Dar kuelekea wapi n.k
Mkuu kwa faida ya wengine, hebu fafanua huko Mapinga ni wapi, 25km kutoka Dar kuelekea wapi n.k
Eneo la mapinga lipo baada ya kupita bunju b kama unaelekea bagamoyo
nashukuru kwa taarifa nzuri, mimi nilikuwa natafuta maeneo mawili, yawe bagamoyo na pwani ya kibaha au mkuranga. moja ni kama hilo la ekari mia moja hivi, na lingine nataka ekari kama mia tano na zaidi, nataka kujenga shule za seminari kwenye dini yangu, na pia nataka kujenga chuo kikuu kikubwa sana. soon you will hear the news about this.we are selling 100 acres of land suitable for hotels and apartments construction.
situated along the sea front at mapinga area 25 kms from daressalaam city centre.
it has got full title deed and site plan
price is 700,000 US dollars.
interested buyers contact me through my email. somigroup@yahoo.com/ or drop me a message at myphone 0754524206
Ni baada ya kuipita Mbweni, tuseme ni mkono wako wa kulia ukiwa unaenda Bagamoyo, maeneo ya shule ya Baobab, unaingia kulia.
Haya Somi, iko upande gani kutoka kiwanda cha chumvi?