Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kassim Abbas aliyepata kura 80(alikuwa wa mwisho)Shinyanga mjini nani kapitishwa?
Swali la kipumbavu ,mdee aligombea wapi?Mdee je??
Chadema hawashiri uchaguzi.Mdee je??
uchaguzi gani/upiChadema hawashiri uchaguzi.
Aaaaiiiiseeeee! Katambi na Maseke chali?Kassim Abbas aliyepata kura 80(alikuwa wa mwisho)
Katambi karejeshwa. TATIZO humu JF siku hizi ni Fujo tuAaaaiiiiseeeee! Katambi na Maseke chali?
Hebu angalia vizuri rekodi zako, ni kama nilisikia Katambi amerudishwa tenaKassim Abbas aliyepata kura 80(alikuwa wa mwisho)
Mdee atateuliwa katika 15 ya wabunge wa Raisi.Pili kuna dalili za Raisi kuunda serikali ya mseto.ataweza kukaa bungeni bila mdee duh