Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wq habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Mbowe ni muumini wa KKKT tangu kuzaliwa ana haki ya kumwalika mtu yeyote kuja kanisani kwake kushirikiana na waumini wengine kwenye jambo lolote.Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Kama kapokea michango ya Rais wetu Mpendwa Dr. Samia S.H. kwa niamba ya "Kanisa" anashindwaje kuwaalika wabunge wake kindakindaki?Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Porojo tupu !Mbowe ni muumini wa KKKT tangu kuzaliwa ana haki ya kumwalika mtu yeyote kuja kanisani kwake kushirikiana na waumini wengine kwenye jambo lolote.
Au huko msikiti kwenu wanakataza kualikana hadi Imamu au sheikh wa msikiti??
Nani kasema kapokea ?Kama kapokea michango ya Rais wetu Mpendwa Dr. Samia S.H. kwa niamba ya "Kanisa" anashindwaje kuwaalika wabunge wake kindakindaki?
===
Tulikueleza Mzee Freeman umuelewe!
Ila Mbowe kutangaza pesa alizochangia Samia kanisani umeelewa?Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Jizime data tu. Ha ha hahahaha aaNani kasema kapokea ?
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wq habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane?
Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Mkuu chiembe, asante sana kwa taarifa hii Easter Bulaya: Mwenyekiti wetu wa Chadema, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa MachameHalima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wq habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Hamjasema,.mpaka msemeFrankly speaking!!!
Hawa wakina Mdee na shogaake bulaya ....kuchangia jumla ya tsh milioni 12 ujenzi wa kanisa analosali Mbowe"!....
Huku ni kujikomba kulikopitiliza! Na hii imekuja wakati muafaka (KIMKAKATI ZAIDI)...
Na hawa wanatafuta sympathy(huruma) ya Mbowe+wanachadema kuelekea uchaguzi mkuu!...
Na Hakuna kingine!!
Sisi sio watoto!... Wamesoma Alama za nyakati! Kuendana mdundo wa 2024-2025!
They know how&when to play it right!