Ester Matiko ananiumiza

Status
Not open for further replies.
Kiukweli nimeumia sana kusikia huyu dada kaolewa,unajua mpaka nimeandika vile ni kwasababu nimekuwa rafiki yake mda mrefu kwenye fb so nikawa nashindwa kumuuliza kuhusu swala la mahusiano na nikawa naogopa hata kumuomba contact zake nikiofia anaweza kunidelete ila na appreciate jf member kwa kuwa wawazi thankx kwa michango yenu nimeielewa na nafikiria ester will be my sister tangu leo asanteni sana.
 
Pole sana mkuu
 
Pole mkuu...
 
Una ng'ombe 40 wewe? Huko kwa akina na Matiko hakuna vya mteremko kijana. Jaribu kwingine.
 
Weka picha yake nimthaminshe kwanza ndo niku pm number yake! Si kuja na ndoto za alfajri hapa

broda picha yake nimeiweka kwenye wholepaper ya phone yangu ila kamavipi ni pm tu mkuu nisaidie ndugu yako.
 
mke wa mtu huyo, mi kanifundisha na kipindi hicho alikuwa mjamzito{2009/2010}. Ila sikushangai maana ilikuwa balaa akiingia class, ule mguu wake ndo balaa zaidi.

mkuu kumbe profesional ya ester ni mwalimu?alikufundisha wapi na dalasa la ngapi?
 
Laama zingine bwana, huyo mke wa mtu wewe unashoboka wa nini? Imagine mwanaume kama wewe anapiga hesabu za kupata mkeo/GF wako utajisikiaje? Sometimes hekima itumike usiwe mbinafsi wa kufikiri.

Nawacilisha.

CD

dada caro miniliktwa sijui mbowe sikumoja aliwai sema wamemteua mara baada ya kumaliza chuo ndo maana nikawa najua kabado hajaolewa.
 

kaka kama ulikuwepo sikujua kabisa respeck kwako na unafaa kuwa cansellor.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…