Pre GE2025 Esther Bulaya asema anaunga mkono kauli ya chama chake ya "No reform no election"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Wakati akafanya mahojiano na Clouds tv Esther Bulaya ameulizwa kuhusu msimamo wa CHADEMA wa No reform no election, ambapo amesema yeye kama mwanachadema anaunga mkono kauli hiyo kutokana na majeraha yaliyotokea kwenye uchaguzi
Siasa za Tanzania ninyepesi kwamba mwana siasa kufanya "political come back" ni rahisi haijalishi kitendo alicho tenda, watanzania ni watu wasio kua na misimamo ya hoja, ni wasaulifu sanaa
 
Pamoja na kukosea kuingia kwenye mpando dhalimu wa Magufuli na CCM yake hadi akawa Covid 19, Bulaya anaonekana mtu anayetaka sana kurudi kwenye mapambano ya haki ya kweli.
 
Baada ya kupambana hadi kuvuna 800+m za ubunge sasa anaona ni mda sahihi wa kurudi kundini. I'm not judging ila naona tu kama hawa watu ni maslahi ya matumbo. There's no passion and patriotism.
 
Mkuu, ni vyema watu wakajua na kuelewa kwamba, takwa la CHADEMA la, No R No E ni kuona CHAGUZI ZETU ZOTE zinakuwa ni chaguzi huru, sio kwa Uchaguzi Mkuu ujao tu, bali wanataka ndio uwe utaratibu wa upigaji kura kwa wote, hata ndani ya vyama vingine, pamoja na ccm nyenyewe kusiwepo na mizengwe katika chaguzi zao za ndani. Kwa utaratibu huu ndipo tutapata viongozi bora ambao wamechaguliwa na Wananchi.
 
Baada ya kupambana hadi kuvuna 800+m za ubunge sasa anaona ni mda sahihi wa kurudi kundini. I'm not judging ila naona tu kama hawa watu ni maslahi ya matumbo. There's no passion and patriotism.
Africa hakuna mwenye passion wala patriotism wote njaa tu Mkuu. So we better take wale wenye njaa kidogo
 
Baada ya kupambana hadi kuvuna 800+m za ubunge sasa anaona ni mda sahihi wa kurudi kundini. I'm not judging ila naona tu kama hawa watu ni maslahi ya matumbo. There's no passion and patriotism.
Una hoja nzuri sana
 
Back
Top Bottom