the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Siasa za Tanzania ninyepesi kwamba mwana siasa kufanya "political come back" ni rahisi haijalishi kitendo alicho tenda, watanzania ni watu wasio kua na misimamo ya hoja, ni wasaulifu sanaaWakati akafanya mahojiano na Clouds tv Esther Bulaya ameulizwa kuhusu msimamo wa CHADEMA wa No reform no election, ambapo amesema yeye kama mwanachadema anaunga mkono kauli hiyo kutokana na majeraha yaliyotokea kwenye uchaguzi
CCM Dr Tyson hawezi kumpokea 🐼Pamoja na kukosea kuingia kwenye mpando dhalimu wa Magufuli na CCM yake hadi akawa Covid 19, Bulaya anaonekana mtu anayetaka sana kurudi kwenye mapambano ya haki ya kweli.
Baada ya kupambana hadi kuvuna 800+m za ubunge sasa anaona ni mda sahihi wa kurudi kundini. I'm not judging ila naona tu kama hawa watu ni maslahi ya matumbo. There's no passion and patriotism.Pamoja na kukosea kuingia kwenye mpando dhalimu wa Magufuli na CCM yake hadi akawa Covid 19, Bulaya anaonekana mtu anayetaka sana kurudi kwenye mapambano ya haki ya kweli.
HakikaPamoja na kukosea kuingia kwenye mpando dhalimu wa Magufuli na CCM yake hadi akawa Covid 19, Bulaya anaonekana mtu anayetaka sana kurudi kwenye mapambano ya haki ya kweli.
Mkuu, ni vyema watu wakajua na kuelewa kwamba, takwa la CHADEMA la, No R No E ni kuona CHAGUZI ZETU ZOTE zinakuwa ni chaguzi huru, sio kwa Uchaguzi Mkuu ujao tu, bali wanataka ndio uwe utaratibu wa upigaji kura kwa wote, hata ndani ya vyama vingine, pamoja na ccm nyenyewe kusiwepo na mizengwe katika chaguzi zao za ndani. Kwa utaratibu huu ndipo tutapata viongozi bora ambao wamechaguliwa na Wananchi.Pamoja na kukosea kuingia kwenye mpando dhalimu wa Magufuli na CCM yake hadi akawa Covid 19, Bulaya anaonekana mtu anayetaka sana kurudi kwenye mapambano ya haki ya kweli.
Africa hakuna mwenye passion wala patriotism wote njaa tu Mkuu. So we better take wale wenye njaa kidogoBaada ya kupambana hadi kuvuna 800+m za ubunge sasa anaona ni mda sahihi wa kurudi kundini. I'm not judging ila naona tu kama hawa watu ni maslahi ya matumbo. There's no passion and patriotism.
Una hoja nzuri sanaBaada ya kupambana hadi kuvuna 800+m za ubunge sasa anaona ni mda sahihi wa kurudi kundini. I'm not judging ila naona tu kama hawa watu ni maslahi ya matumbo. There's no passion and patriotism.
Hahaha nimekuelewa. Huyu alimgaragaza vibaya sana Makamu Mwenyekiti wa sasa kwenye uchaguzi wa Bunda nakumbukaCCM Dr Tyson hawezi kumpokea 🐼