PostGE2025 Esther Matiko avutiwa na hotuba ya Rais Samia kukuza Sekta ya Usafirishaji

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
​
Mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Esther Matiko, amesema hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu sekta ya usafirishaji imebeba dira ya mapinduzi makubwa yatakayochochea kwa kiasi kikubwa ukuaji wa uchumi wa Tanzania.

Amesema maboresho yanayoendelea katika Bandari ya Dar es Salaam, pamoja na mpango wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo na maeneo mengine nchini, yanaonyesha wazi dhamira ya Serikali kuboresha miundombinu ya usafirishaji ili kufungua fursa zaidi za kiuchumi

Kwa mujibu wa Matiko, hatua hizi zitaiwezesha Tanzania kuongeza ushindani kikanda, kuvutia uwekezaji na kuongeza mapato kupitia biashara na usafirishaji wa mizig

Amehitimisha kwa kusisitiza kuwa uwekezaji huo mkubwa katika sekta ya usafirishaji unaendana na malengo ya kitaifa ya kukuza uchumi na kuboresha maisha ya wananchi.


Your browser is not able to display this video.





​
 
Lipo serious kabisa halina hata aibu .....wanawake sio watu wa kuwaamini.
 
Kusafirisha nini Maiti ?!!!

Unajua kila jambo na wakati wake haiwezekani mpo msibani hata hamjapata sanda ya kumusitiri Mzee mnaongelea Kumuoza Mwanae
 
Malaya mkubwa.huyu
 
Naungana nae hotuba ya Mh Rais ilikuwa bora sana.
 
Wewe COVID-19. Just a matter of time. Tutakuweka nguvuni tu! Najua unasema haitawezekana
 
Napendekeza tuanzishe chama cha umoja wa vijana ambacho kitakuwa hakifungamani na chama chochote cha siasa kiwe na lengo la kuwapambania vijana na hicho chama viongozi wawe wanadumu kwa miaka 3 akifanya vizuri tunamuongeza 3 na kwenye maridhiano kama vijana tulioumia zaidi hatutaki kuwakirishwa na chama chochote cha siasa tutataka kuona serikali ya umoja wa vijana inahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…