Esther Matiko: Sera za ufugaji zimepitwa na wakati

Esther Matiko: Sera za ufugaji zimepitwa na wakati

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko yamekuwepo malalamiko kutoka wadau mbalimbali kuwa Sera, Sheria na Kanuni zilizopo zimepitwa na wakati

Akichangia majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi amesema "Ifanyike review (tathmini) ili twende na Ufugaji wa kisasa. Ranchi ya Taifa ambayo ni 5% katika Uwekezaji wa Mifugo tuliyonayo inasuasua"

Amependekeza kuwepo mgawanyo mzuri wa Ardhi na kutoka kwenye kuwekeza kwa Serikali na kwenda Sekta Binafsi ili wawekezaji wengi waje
 
Hana jipya, lazima acheze ngoma ya ndugai kwa sababu yuko mjengoni kwa ubavu wake......hawa watu kwa nini wanatuletea maslahi yao binafsi? mh. rais inabidi awe makini na hawa wademkaji.
 
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko yamekuwepo malalamiko kutoka wadau mbalimbali kuwa Sera, Sheria na Kanuni zilizopo zimepitwa na wakati...
Wagugaji wengi hawaendi na wakati. Kuchunga ng'ombe kumepitwa na wakati. Pamoja na wasomi wote tulionao, bado hatujaweza kuwasaidia wafugaji kuanza kufuga na kuacha kuchunga. Kweli usomi wetu una kasoro
 
Back
Top Bottom